Nimegundua nampenda tatizo kicheche...'

Inno laka

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,616
583
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa nimekaa na rafiki yangu mmoja hv kama unavyojua siku hz,,mtandao wa voda unavyosumbua nikawa nimemuazima cm ake nikaingiza namba za huyo nayesema dem angu kumbe looo n zaid mamba kwenye screen ikajichora my dear.,.'vumbi hlo lilinichosha ila nikapotezea tu nikatoka siku moja kwenda bar huko nikamfuma lakni sikutaka kumuambia nikaziua tu wanajf m naomben mnishauri..
 
Kaka, maradhi mengi, afterall kuna watoto wengi wa ukweli WANAOJIELEWA so ka'vipi temana nae tu, jikaze mtoto wa kiume wewe kuna jela ujue!
 
Wewe unafikiria ni njia gani ya kujinasua ambayo haitakupa maumivu sana?

Nikikuambia hana hadhi wala thamani ya kuwa na mtu mzuri kama wewe, sijui nitakuwa nimekusaidia kidogo?
 
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa nimekaa na rafiki yangu mmoja hv kama unavyojua siku hz,,mtandao wa voda unavyosumbua nikawa nimemuazima cm ake nikaingiza namba za huyo nayesema dem angu kumbe looo n zaid mamba kwenye screen ikajichora my dear.,.'vumbi hlo lilinichosha ila nikapotezea tu nikatoka siku moja kwenda bar huko nikamfuma lakni sikutaka kumuambia nikaziua tu wanajf m naomben mnishauri..

Achana nae vinginevyo jiandae kufa au kuendelea kumpenda ni kuchagua kufa, bora kipi hapo?
 
Huwezi fungua mradi kupitia yeye?

Kama anapenda wazee fungua NGO ya kulea wazee
Kama anapeza masharo fungua kituo cha masharo
Kama anapenda pedeshee, fungua band ya mziki yeye awe stage show dancer.
 
huwezi fungua mradi kupitia yeye?

Kama anapenda wazee fungua ngo ya kulea wazee
kama anapeza masharo fungua kituo cha masharo
kama anapenda pedeshee, fungua band ya mziki yeye awe stage show dancer.
yaweeeeeeeeeeeee mama yangu mgonjwa jamani
 
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa nimekaa na rafiki yangu mmoja hv kama unavyojua siku hz,,mtandao wa voda unavyosumbua nikawa nimemuazima cm ake nikaingiza namba za huyo nayesema dem angu kumbe looo n zaid mamba kwenye screen ikajichora my dear.,.'vumbi hlo lilinichosha ila nikapotezea tu nikatoka siku moja kwenda bar huko nikamfuma lakni sikutaka kumuambia nikaziua tu wanajf m naomben mnishauri..
Wewe mtokee tu, halafu mtafutie LIMBWATA..................Atatulia mwenyewe.......................LOL
 
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa nimekaa na rafiki yangu mmoja hv kama unavyojua siku hz,,mtandao wa voda unavyosumbua nikawa nimemuazima cm ake nikaingiza namba za huyo nayesema dem angu kumbe looo n zaid mamba kwenye screen ikajichora my dear.,.'vumbi hlo lilinichosha ila nikapotezea tu nikatoka siku moja kwenda bar huko nikamfuma lakni sikutaka kumuambia nikaziua tu wanajf m naomben mnishauri..[/QUOTE

kwanza hongera kwa kuwez kujicontrol ulipoazima cm, hlf mm nakushauri temana nae tu
 
ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu.
Lol Huna lolote....
Kama umegundua ni kicheche unang'ang'ania nini?
Unataka akupe Ukimwi ndo umwache?
Kama story hujatunga basi kaa chini na utafakari kwa makini.....utaumia...ooh
 
Uzuri wa mtu ni tabia hata kama wataxema tabia kijijini.xaxa ni wewe kuchagua huo umalaya kama unaukubali kutoka kwake
 
Back
Top Bottom