Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama ingekuwa hakuna huku kunakoitwa kuoana ,unafikiria dunia ingekuwaje,je ni unyama au vipi? Data sijui zinasemaje ,watanzania wengi hupatikana nje ya ndoa,au tuseme wanawake wengi hapaTanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 31 nina elimu ya chuo kikuu na ninafanya kazi pia ni mjasiriamali. sifa za mwanaume ninayemtaka awe mrefu wa wastani, mkristo, mcha Mungu, Elimu kuanzia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nina mpenz wang ambaye tumedum kwa mda wa miez minne.yeye anafanya kaz huk anasoma.mim nshamalza shule.tulikubaliana kwamba tudo mwakan na kabla ya kuanza kudo aende nyumban na taratibu chache...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu , nadhani kuwa kila mtu anajua kuwa kuna opresheni safisha wahamiaji harafu sasa basi mm ndo hivo dem wangu ndo kashaondoka ila nnacho miss zaidi kwake ni shughuli yani viuno...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Saiv vijana wetu wanaona ufahar kufanya matusi wakiwa wanajirekod,kule udom,cbe mpaka sucking xanaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jaman!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.! story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tuache masihkhara hizi mbegu za shamba, old school, watoto wa maadili they are SO SWEET! Hadi una enjoy kukaa nao! They know how to care for a...
10 Reactions
81 Replies
10K Views
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Wapendwa wana janvi, "NADESIGN" Software rahisi kwa ajili ya kusimamia HARUSI! Inafanyaje Kazi! Software hii inafanya kazi kwa kuanzia kwenye Bajeti,kuainisha pledges VS michango, kuoanisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau. Hivi mnapokuwa mmeshaoana, ni nani anayetakiwa apange kwamba 'huu ni wakati wa kupata mtoto'? Ni mume, ni mke, baba/mama mkwe au ni ile ghafla tu kitoto kinatokea!? Kuna rafiki yangu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Ni muda sasa tokea niwe napika ugali, lakini chakushangaza unapoloweka ile sufuria na mwiko akija mama mtu mzima anagomba sana,hawapendi uloweke ule mwiko wanataka uoshwe?Je ni...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
jaman mi nina mchumba wa kabila fulan lakin ndugu na jamaa wanaxema eti hilo kabla huwa lina tabia ha kuua wanaume hasa mnapokua na mali nyingi jamani. naombeni ushauri kabla ya kwenda hatua nyingine
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijui umetngwa sana?!..............sikuon mwenzio uko wap Christine Ibrahm?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna dhana kwamba wanawake walioajiriwa wanakabiliwa na mazingira ambayo yanawalazimisha kuingia kwenye vitendo vya kutoka nje ya ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ambao hawajaajiriwa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna watu wana bahati sana ya kupendwa na watoto wadogo au vijana wadogo wa jinsia zote mbili (kike na kiume), hivi ni kitu gani kinawafanya wapendwe na watoto? maana hata mtoto ambaye hamfahamu...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
You’ve kissed a few frogs and finally found a man is who is funny, handsome and charming. But is it real love or is he taking you for a ride? Find out 1.) He showers you with compliments the first...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvini ninarafiki yangu alikua na mchumba wake na alikua amesha mtolea mahari tena mahali ndefu iligharimu 2000000 kipindi wanaanza mahusiano Dada wa watu alionesha tabia nzuri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…