love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
nina mpenz wang ambaye tumedum kwa mda wa miez minne.yeye anafanya kaz huk anasoma.mim nshamalza shule.tulikubaliana kwamba tudo mwakan na kabla ya kuanza kudo aende nyumban na taratibu chache zitekelezwe.cha kushangaza ulpofka mwez wa nane akadai ni mda mref hvyo tuanze mwez wa kumi mim nkamwambia had uende nyumban.akagoma na kusema hawez kwenda na ndugu zake labda peke yake au na mim kwa sabab hajamalza chuo lakini kudo anataka na likasababisha tuwe wa kugombana had leo.inafkia hata akiumwa hatak kuniambia anaumwa nin.na nikipata shida iwe yoyote au ya pesa hanisaidi.husema niwambie dada zang au wazaz wang.kifup sina aman kabisa. ingawa yey anasema hajawah kudo na hajui .jaman ushaur wenu utanisaidia sana.