Habari zenu wanaMMU,.
Kumekuwa na vilio vingi sana hapa jamvini hususan katika suala zima la uzazi, wanaume kwa wanawake wameingia katika ndoa huku wakiwa hawana uhakika katika suala la...
Ktk uchunguzi nilioufanya kuhusu process ya uchumba hadi ndoa nikagundua kuwa wanandoa wengi walianzisha uhusiano ktk mazingira yaliyowazunguka kwa wakati huo! mf. masomoni,kazini,club,beach,guest...
Wasichana ambao bado hamjaolewa msithubutu kudate na mwanaume ambaye ana umri zaidi ya miaka 35 na hajaoa tena mbaya zaidi kama anao watoto kazaa hovyo,
sawali la kujiuliza ni kwanini hajaoa...
Ishu nyingine ni challenging kidogo kwenye kushauri.
Huyu mdada ana jamaa yake ambaye wameplan kuingia kwenye ndoa, but hiyo ndoa ndiyo naita matatizo.
Kutokana na uwezo mdogo wa familia yao...
Mke: Haloo baba uko wapi?
Baba: Niko hapa baa kwa mrombo naangalia mechi ya aseno..
Kumbe baba yuko chumbani kwa Neema anabanjua amri...
Baba: Haloo mama uko wapi?
Mama: Niko saluni mme wangu...
Mtu umekaa na dada yako au mwanamke unayemheshmu mnapga story,anakuja mtu anaanza ooh ninauza dawa za kuboost nguvu. Tena anamwambia sista eti mwambie jamaa anunue. Fikirieni bwana si kila ukiona...
Dear JF (MMU) Friends
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuukwetu sote. "Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka...
Naitwa Mariam (24) naishi Moshi na niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ambaye umri wake ni miaka 48, kwa maana kwamba amenizidi umri mara mbili.
Yeye anaitwa Benard. Uhusiano wetu...
Eid mubarak wana MMU ,Tubadike wakuu tusiwe na fikira duni za kizamani kuwa wanawake wawe tegemezi kwa kila kitu kwetu , kama mwanaume umemuoa mwanamke asiye na kipato chochote basi muwezeshe sio...
utakuta mtu anaita lugha yake ya kuzaliwa za makabila, ati, 'kilugha', maana yake nini? afu sisi twajiita waafrika weusi mbona wengine hatuwaiti wazungu wekundu bali weupe kwanini tunaangalia...
Wadau.
Kwa walio wengi hapa ni vijana wa dot com sijui kama wengi wenu mmewahi ku experience ndoa za wake wengi (ndoa za mitala or polygamy)
Mimi baba yangu alikuwa na wake watatu Mungu...
mwenzenu mwanzo nilikuwa modo wa ukweli .. waif alinipenda sana!!!!
baada tu ya kupata haka kakitu, waifu naona anabadilika kweli!
no more Smile, kwenye majamboz ndo kabisaaa, anazingua!
ushauri...
Habari kwenu waheshimiwa na msio waheshimiwa..!
Jana nilitoka out na mchumba wangu, Tulipo fika sehemu ambayo tulikua tumepanga kwenda kutembelea na yeye ndie alipachagua tuka mkuta Jamaa ambae...
Nimatumaini yangu kwamba nyote mu wazima wa afya, lakin pia napenda kutoa pole zangu nyingi sana kwa mpendwa wetu mtangazaji wa ITV ufoo Saro kwa dhahama iliyomkuta. Pole sana na Mungu akuafu...
Jamii imejaa uongo,usaliti,zinaa,roho mbaya.
UNATAFUTA MPENZI MWAMINIFU SAWA lakini unamtafutia wapi?utarudi kwenye jamii hiihii iliyojaa usaliti,zinaa,uongo na tamaa.
nani tumlaumu?Tunawalaumu...
two wapenzi,mumealikana kwa mazungumzo,mpo pamoja,sasa wewe unakuwa bussy na simu yako muda wote,mpaka mwenzio anaanza kufikiria si wa muhimu kwako,unaongea neno moja alafu unatumia dakika tano...
^^
Have you ever tried to wonder what is in woman's mind? Take note of reasons why women do not always want men to know about them
....
WOMEN GET JEALOUS AS HELL
They might deny it (they say...
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi...