Polen wadau wa MMU,jamani mwenzenu nimechoshwa na mitongozo ya watoto wa kike kwangu kila nikicheka na mtoto wa kike 2 bhas lazima ataniambia nakupenda niomba niwe mpz wako,mpaka sasa nimeamua...
COPIED MAHALI
"BABA WA MTOTO ANAHITAJIKAHabari Dada Mange,
Samahani sana kwa kukusumbua najua una mambo mengi kufanya maendeleo. Nilipata matatizo makubwa sana dada yangu na niliposikia umekuja...
Wadau habari najakwenu mnisaidie nimeamua kuachana na mchumba wng kwa sababu zisizo zuilika tatizo nilikuwa nampenda sana nifanyeje ili ni msahau niwena aman sina marafiki wakuongea nao sinywi...
mwenzenu ninagarden(nywele) mpaka zinaungana na nywele za chini ....dah napatashida sana nikiyanyoa naona kama yatazidi ivi kibaya zaidi huyu demu niliye naye hapendi kabisa hili garden nipo njia...
Mwaka huu ulipokuwa unaaza nilimwomba Mungu anipe moyo wa kutenda matendo ya huruma na upendo na nianze na wale wa karibu yangu.
Ukweli kile nilichokiomba ndicho nilichopewa kwa mwaka...
Mimi ni kijana niliyeoa tayari! Kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi tuliyependana sana; sikumuoa kwa sababu ya Elimu ndogo aliyokuanayo. Baada ya kuoa mwanamke mwingine ambaye naye nilimpenda kwa...
Daa...! wivu huu hatari mno, hivi uliwahi kuambiwa na your lover kuwa anajisikia vibaya anapokuta simu yako ipo busy...? sasa sikiliza hii, jamaa angu mmoja alikuwa na mpenzi wake ambaye...
Hebu chukulia tu kwamba ulikuwa na boy friend ambae mlikuwa pamoja toka secondary halafu mkamaliza pamoja masomo yenu[a level] na kwenda kuendelea na maisha na baada ya muda mkaamua kuoana,maisha...
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu...
Mwanamke: Dalili zitakazomfanya mpenzi mpya akuone wewe ni kinganganizi ! Hizi ni miongoni mwa sababu ambazo wanaume wengi huchomoa mapema kwa wapenzi wao wapya kabla uhusiano haujashika...
Huitaji kuwa mwanasaikolojia ili ujue kuwa kila jambo alifanyalo mtu ni kwa sababu fulani! hapa nazungumzia wanawake ambao huingia kirahisi na kutoka kirahisi kwenye uhusiano wa kimapenzi! hawa...
wakati watu wengi wangependa kuwa karibu na wapenzi wao kwa muda mrefu zaidi hali ni tofauti kabisa kwa wengine.
TOPIC.
wapo wanaume hawawezi kukaa na wapenzi wao ndani ya nyumba kwa muda mrefu...
A group of professional people posed this question to a group of 4 to 8 year-olds: "What does love mean?"
The answers they got were broader and deeper than anyone could have imagined. See what...
Mimi ni kijana mhitimu wa elimu ya juu, nilivyokuwa chuo nikawa kwny mahusiano ya kawaida na binti flan wa mwaka wa 1 nikiwa 2nd yr na kwa kipindi chote tukawa tunajifunza tabia za kila mmoja kama...
Wasalaam wakuuu...napenda kulileta hapa jukwaani suala hili kwa kuwa naamini litapatiwa ufumbuzi.......Nina rafiki yangu ambaye ni kama ndugu yangu kwa jinsi tulivyoshibana..tulisoma wote primary...
KUNA WANAUME WENGINE NJE (HOUSING) WANAUME LAKINI NDANI NI WANAWAKE(WANATABIA AU HULKA ZA KIKE) NA KUNA WANAWAKE WENGINE NJE (HOUSING) WANAWAKE LAKINI NDANI NI WANAUME (WANATABIA ZA KIUME) JIPIME...
Napenda kuuliza ,kwani wengi huona mengi ,hivi wapo wanawake wanaotongoza wanaume ? Mbali na wale machangudoa wa mabarabarani nazungumzia wanawake wakwaida ambao huwa wanajiheshimu ,na huweza...
Wana JF,
Hivi ni kweli katika hali ya kukua kwako ulishawahi kutamania mke/ mme/ boyfriend au girlfriend wako jinsi unavyotaka awe..? mathalani mrefu kidogo, mweusi ila sio tiiii nk, sasa njoo...