Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nutafuta mwanamke wa kuzaa nae tu sio kumuoa awe anajielewa matunzo yote atapata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama malikia wa nyuki na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi,Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari Asubuhi wabunge wa bunge tukufu la MMU, nimeona tushirikishane kidogo hii habari kutoka mwananchi...........Nanukuu "Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga...
10 Reactions
44 Replies
7K Views
Upo katika mihangaiko yako ya kila siku lakini ghafla umemkumbuka mkeo na kuamua kupita dukani na kumfanyia shopping ya nguvu Kama upendo wako kwake, Umeamua kurudi nyumbani bila kumpa taarifa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Hivi jamani kwanini cheti cha ndoa kisingekuwa mnapewa watu mshazeeshana kuliko kupewa wakati ndokwanza mnaanza mapambano kama vyeti vingine kuvipata mpaka uvisumbukie nachenyewe kiwe hivyo et.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hbr wanajamii?,naomba ushauri ni wapi au nani ni sehem au mtu sahihi wa kuomba atusuruhishe kutoelewana na mke endapo sisi wenyewe tumeshindwa kufikia muafaka baada ya kujaribu kujisuhisha kwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna watu wakiwa kwenye relationshp wanakuwa na mikwara sana kwa wapenzi wao sana sana wanaume, unakuta anamkosea gilfriend wake haombi hata msamaha, alafu mwanamke akichoka hayo manyanyaso...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Wanawake karibu 90% wametoa mimba, 40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume, 40% wamezaa nje ya ndoa zao, 80% wana watoto nje ya ndoa. Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.
1 Reactions
133 Replies
11K Views
Wakuu nafikiri mko poa kabisa,kuna kitu huwa najiuliza mpaka nimeamua kulileta kwenu. Kuna rafiki yangu wa siku nyingi sana ana mke na amedumu nae kwenye ndoa zaid ya miaka kumi. Wamekua na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Waungwana habari ya mchana? Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana...
0 Reactions
103 Replies
11K Views
Natafuta marafiki wa kike,kwa kubadilishana mambo mbalimbali kuhusu maisha na vitu vengine...number yangu 0763277598
0 Reactions
0 Replies
892 Views
"KUFA KUFAAANA" Kwanza nianze kusikitka kwa kuchelewesha ajira za walimu lakn pia naiipongeza wizara IMENIFANYA NING'OEE MREMBO ALIYENITEMA, dah kuna mrembo nilimtongoza akiwa chuo cha ualimu...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Valentine died for love . Romeo died for love. Jack (Titanic) died for love. Samson (Bible) died for love. Hercules & Archilles died 4 love. Even Jesus Christ died for love! Dear Men...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!! Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!! Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Kuna ka ex kangu sijui kanantaftia nini mie mara kaje kakitoka chuo eti kanataka maji, mara kanataka nkakope hela sometymes huwa nataka so ipi itakua njia nzuri nchukue sheria kiunoni, sheria...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Salamu wana JF. Kuna mtu mmoja ameniomba ushauri lakini nimeona ni vema kushirikisha wanajukwaa ili tuweze kumpatia jibu lililo sahihi. Suala lenyewe lipo hivi: Nina jirani yangu ambaye...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…