It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu
akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye
alinishauri nibadilishe njia ila mimi nikakausha. Well nka decide ku
waste time kwa...
mpaka sas ni kweupe mfukoni, na wifi yenu hatanielewa kuwa sina kitu mfukoni, so njia nitakayotumia ni kwenda kwa daktar na kumwambia aniandikie cheti kuwa naumwa, nitatumia 3000 pamoja na dawa...
Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe
WANAITWA WANAWAKE
Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nina shida ntakurudishia...
TAFSIRI
Mwanaume surual-mwanaume asie na kazi na anataka kuoa au kashaoa.
Mwanamke sketi-kaolewa au anataka kuolewa na hana kazi na hajishughulishi.
HAPO NI YUPI ANAKERA?MAANA SIKUIZI Mabachela...
Najua kwamba wengi wetu hukimbilia kupima ukimwi kabla ya kufunga ndoa na wenzi wao, lakini sijawahi kusikia wapenzi wakipima genes za magonjwa ya kurithi kipimo ambacho nadhani kinafanywa kwa...
Jumatatu Ni siku ya Kufungua wiki, Baada ya siku ya kwanza Jpili lakini hasa Maisha ya wiki hufunguliwa Monday. Leo sitaongelea masuala ya Kisayansi zaidi ila kuna ombwe kuu Kwenye msingi wa...
HOW TO MAKE A MAN HAPPY
1. Feed him
2. Sleep with him
3. Leave him with peace
4. Don't check his phone (Msgs)
5. Don't bother him with his movements
So whats so hard about that?
HOW TO MAKE A...
Habari ndugu zangu,
Hivi jamani inakuaje mimba nibebe mimi halafu kisirani awe nacho mume wangu?yani utasema ye ndo mjamzito...mara kanuna mara awe kawaida yani inshort vurugu mechi wakuu hata...
WANAWAKE: 'Hatuhitaji zawadi, kama kweli wanaume mnatupenda basi mje kujitambulisha na kutuchumbia, tutakuwa kwenye makazi yetu tunawasubiri.....hizo zawadi mtatupatia siku ya send off'
WANAUME...
kuna jamaa yangu mke wake kajifungua mttoto miaka kama miwili iliyopita ,yule mtoto kafanana na mshikaji lakini mama wa mtoto kila saa akimuona aachi kusema we baba naniii umeniharibia mtoto yaani...
Kwanza alishaniambia kuliko nimtukane ni bora nimchit yaani niwe na gal mwingine wa pembeni.
Lakini naona alienda mbali zaidi alivyoniambia tukioana inabid niwe na gal mwingine maana kama atakuwa...
Wakuu hizo hapo chini ni baadhi ya sifa za wife material kwa uchache wengine wanaweza ongezea.
1. WIFE MATERIAL yuko home amelala, sio club anashikiliwa.
2. Wife material anamuuliza mamayako...
kuna vijana wenzangu wana wapenzi wao lakini unaweza kuta wanalalamika kuwa wapenzi wao hawataki kuwatembelea wanakutana bar au gest nakupaa mbinu za kufanya msichana awe analimiss gheto lako...
Mgahawa wa Mildred's Temple Kitchen wa mjini Toronto nchini Kanada umeibuka na staili ya ajabu ya kuwavutia watu kwenye mgahawa huo kusherehekea siku ya wapendanao (februari 14).
Mgahawa huo...