Nina mpenzi wangu tumekuwa nae muda mrefu bila kupeana wet kiss leo nikataka kujaribu kumkiss nikakutana na harufu fulani ambayo sikuipenda na nikazuga nimesahau kitu fulana ili kuepukana na hali...
Mamboz wadau.....mimi ni binti wa miaka 25,nna mpnz ambaye tuna mwaka sasa lakn mwanzo wa uhusiano wetu alionyesha kunijali sana simu kla dk,txt,zawad nk.Mwaka jana mwez wa 8 akaanza kubadilka yte...
Nilishuhudia kitendo cha kinyama kwa binti mmoja aliyefiwa na baba na kuamua kutafuta kazi za ndani ili amsaidie mama yake aliyekuwa na kipato duni.Yaliyomkuta ni fedheha kwani familia ilijenga...
1.Lazima ujue kwamba wewe ni mke na ni wajibu wako kushuka na kumtii mmeo
"enyi wake watiini waume zenu kama kanisa linavyomtii kristo yesu"
2.Lazima ujue kwamba mmeo ni kiongozi wako, haijalishi...
Wasichana wengi wao wanajifanya matawi wakati si kweli. Katika vyumba vyao wanafanya kila kitu vya kipuuzi kama kula kupita kiasi, wanajamba bila kuona aibu. Pindi ukikutana nao njee wanajifanya...
Hivi kwa nini unakuta marafiki wanaharibu mahusiano ya kimapenz kati ya watu 2, mfano rafik Yang anamfata boyfriend wangu anamjaza maneno either ya ukweli ama uongo hiv anakuwa anataka nini...
TWIN sisters say they decided they want to look identical to be able to share everything in their lives.
Yes, everything: house, bed, boyfriend, Facebook account and even a job.
Anna and Lucy...
Wanajamii kesho ni siku ya wanawake duniani, siku ya pekee inayotokea mara moja kwa mwaka. Natafuta msichana/mwanamke nitakayemwonyesha upendo kama kumbukumbu ya kutambua na kuthamini siku hiyo...
Aliyekuwa akinifunda kabla ya kuoa(unyago)aliwahi kuniambia kuwa ....."ili mfurahiane na hatimaye mridhishane kimahaba wewe na umpendaye(mkeo) hamna budi kuandaa mazingira mazuri ya kuipa akili...
Habari MMU...
Kwa ruhusa yenu naomba nianzishe siredi ya kupeana matumaini, moyo na ari katika maisha yetu ya kila siku.
Naomba iwe siredi endelevu kwa kila siku kutupia quotes nzuri na...
ASILIMIA 40 ya wanaume waliopima VINASABA ili kubaini uhusiano wa kibaologia na watoto wanaowalea wamebainika kuwa WATOTO HAO SIO WAO licha ya kuzaliwa na wake zao au wapenzi wao.
Taarifa hiyo...
Wakuu hili tatizo analo mme wa mdogo wangu yani hawezi jisafisha vzr na ni mtu mzima unakuta kwenye pichu kuna ile dead matter, ama akitoka job anavaa kanga sasa inapita pale ikweta akivua tu...
Do ladies take lessons when it comes to running and dancing while in high heels shoes? I have been amazed seeing ladies running and dancing vigorously while in these crazy high heels. Is there a...