Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inaogopesha sana kwa kweli! Hivi majuzi rafiki yangu sana aliniomba nimsindikize kwa wakwe zake huko jijini Arusha, kwasababu tumeshibana ikabidi nimpe kampani, tuliambatana na mkewe pia ambaye...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Betty is a twenty six year old lady who is not in any relationship. She visits her much older friend, Aunty Sally who has been married for fifteen years and the following conversation ensued. Pick...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani. Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari wana MMU Mimi nimesoma shule ya boys tupu,sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi anakabiliwa na tatizo la kujichua/musterbation ambapo alianza tangu yuko kidato cha kwanza ,sasa punyeto...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
DEREVA WA HALMASHAURI IRAMBA AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI Na Nathaniel Limu, Singida DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Ni sahihi mume kusema hii kauli ndani ya nyumba au imekaa Kinyampala sana na kumnyima haki mke kwa maisha yetu ya karne hii? Jamani...! Ebu tupeni miongozo mlioko kwenye ndoa maana mabinti wa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nnapoish kuna wadd ambao kimsing wapo wapo tu hawana kaz.... Kuna mmoja alikua rafk angu kwa mbali ila now days km kuna ka-distance sana.... Nimekaa apa nje ya nyumba naperuz jf kapita kavalie...
3 Reactions
164 Replies
13K Views
Habari wana JF, Mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe...
3 Reactions
72 Replies
5K Views
machukizo mbele ya Mungu na mwanadamu, wote watauwawa na damu yao itakua juu yao(Mambo ya walawi:20:13 )(GAYS NOT ACCEPTABLE AT ALL) ukiweza soma chapter yote ya 20 plse
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mungu ameumba upendo na chuki. Shida na raha. Kupasi na kufeli faraja na huzuni lakini kwangu naona tofauti sana kweni huzuni majonzi vimenitawala sana mapenzi kwangu yamekua fimbo uwazi wangu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Natumaini mko vizuri. Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then...
15 Reactions
215 Replies
13K Views
Waungwana kimsingi nini ngunga sio mchezo...kwa sababu nyoka hachagui tundu... naomba mwenye huruma aje PM
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Habari wapendwa wooote humu ndani...... Natumai wote tuko kamili saaanaa kama unastress ni kitu cha kawaida .. Nimegundua, wengiii tunatatizo la kukata tamaa pale tunapowapoteza wale tuliowapenda...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Daaaah Shkamoon wakuu Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina...
0 Reactions
455 Replies
25K Views
There is a miracle called friendship that dwells within the heart and I don't know how it happens or when it even starts, the happiness you give me...
6 Reactions
176 Replies
9K Views
Habarini!! Huu msemo sio mgeni kwako na kwangu hata mimi nilikua nikikua huku nausikia na Sasa nimeamini kuwa kupenda ni Mara moja tu Nimekuwa kwenye mahusiano hapo nyuma lakini sijawahi...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Fomu toka kwa baba mkwe mtarajiwa. FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU KIJANA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA. Mimi ......................., natuma ombi la...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Unaelewa maana ya marafiki? Unaweza kuchati? Unajua kumshauri rafiki yako ahitajipo kushauriwa? asi karibu kwa hayo matatu, nne hili linawahusu watu wa chuga sana! makabila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu. Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile. Shem wangu yule kiukwelikaumbika...
0 Reactions
79 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…