Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.
Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke...
Watu wengi wanapiga mechi ila utafiti unaonyesha watu wengi wake kwa waume hawapati ushindi kwenye mechi za nyumbani
Kwa upande wa pili waume/wake wamekuwa wakipata ushindi mnono kwenye mechi za...
heshima kwenu wana jf
mimi nina mpenzi Wangu ninae mpenda sanaa sasa tulikaa muda kama mwenzi mmoja bila kuonana but tulikua tuna chat tu nakuongea kwenye simuu sasa kabla yangu alikua Ana...
Fomu toka kwa baba mkwe mtarajiwa.
FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU
KIJANA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA.
Mimi ......................., natuma ombi la...
Nina mpenzi niliyekuwa namwamini but siku nilikuta meseji za mapenzi kwenye simu yake nilipomuuliza aliniambia walikuwa ex wake nikaachilia mbali. But nikamwambia azifute baada ya siku kadhaa...
Unapo kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani, hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu...
Hivi majuzi nilikua nina mpango wa kuhama sinza kwenda kuishi Tabata.
Tena nakumbuka wkt nipo Tabata natafuta nyumba, niliwasiliana na dada yangu Heaven on Earth kwa simu nikamueleza intention...
Husband comes home drunk and breaks some crockery,
vomits and falls down on the floor...
Wife pulls him up and cleans everything.
Next day wen he gets up he expects her to be really angry wid...
Habari zenu jamani,
Mama mwenye nyumba wangu amenunua godoro jipya leo asubuhi, tano kwa sita.
Mume wake amesafiri miezi nane sasa, sasa mama huyo ambaye amenizidi miaka zaidi ya 30...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana...
Kwa majonzi mazito saaana nasikitika kuwataarifu kuwa Mwana Wing mwenzetu Dada ram
amefiwa na bibi yake.
Msiba huo umetokea Mkoani Singida na sasa...
Wana Jf, ni jambo ambalo naona kama ni kero kwa wanaume wenye tabia kama hii. Unakuta mwanaume ambaye ni baba wa familia mwenye watoto wakubwa wa kiume na kike ambapo wakike baadhi wameolewa na...
Mimi naitwa Halima ni msichana wa miaka 19 Nasoma kidato cha tatu (form 3) hapa Arusha.... nimejitokeza kwenu kuomba ushauri
Mimi nina mpenzi wangu ambae yupo chuo kikuu, ana miaka 25...
Nina mpenzi tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Zanzibar me Dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo Dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara...
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa:
1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)
2) Anakuwa na namba ya siri ya...
habari zenu jf! Natafuta mpenzi wa kike ambaye nawezaishi nae hapo baadae kama mme na mke.
wasifu wangu:
1-Nina miaka 19
2-elimu ya kidato cha nne Kwa sasa,ila nasubiri selection niendelee na...
Habarini wakulu!
Kufanya oral sex ni sawa na kutenda kinyume na maumbile???
Nimeuliza hivi kwa sababu kuna jamaa yangu wa karibu anasumbuliwa na hili jambo kutokana na GF wake hapendi oral sex na...