Never forget 3 types of people in your life in difficult time
1. who helped u in ur difficult tym...
2. who left you in ur difficult tym...
3. who put you in ur difficult tym...
where...
UTAMU WA BIRIANI
Utamu wa biriani
Si harufuye puani
Au rangiye machoni
Haitoshi asilani
Uzuri wa biriani
Tonge liende kinywani
Ladha nono ulimini
Rahaye paka moyoni
Mithili ya biriani
Mke...
CHUMBIA BINTI MPENDA VITABU
Hii ni kwa vijana wanaopenda kuoa! Ukitaka kuoa, chumbia Binti Mpenda Vitabu ( BMV)
Kwa nini?
Wa kazi gani?
Utampata wapi?
Unaweza kumpata Maktaba akihangaika na...
Habar ya mda huu wadau,
Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba...
Jamani wana MMU yamenikuta,
wiki hii nilipanga nikutane na shemeji yangu wa kiume, yaani ndugu wa damu wa mpenzi wangu. Nilitaka kukutana nae maeneo ya ubungo stand ili aweze kunipa funguo ya...
I need girlfriend mm nipo dar,umri wangu miaka 21 nnaemtaka umri kuanzia miaka 18-24 kwa mawasiliano 0656899091 au khaleedshaban@gmail.com,asanteni sana
Leo jioni nilitembelewa na mpenzi wangu ambaye kimsingi ndiye niliyemwandaa aje kuwa mama wa watoto wangu siku si nyingi zijazo, yeye ana mtoto mmoja.
Leo kwa mara ya kwanza kakutana na wazazi...
Habari wana MMU.
Kuna jambo fulani la kinafki wapenzi wengi wamekuwa wakilifanya hasa pale wanapokuwa mbele za watu.
Topic Yenyewe.
Unamkuta mtu katoka na mpenzi wake kwenda kupata...
Poleni na majukumu ya kila siku wana MMU
Nina mengi ya kuandika ila nahisi sitaweza kwa kuwa niko na mawazo sana,nina mpenzi wangu ambaye ni miaka miwili sasa tuko kwenye relationship.
kama...
Wahenga walisema "jasiri haachi asili" nimeishi sehemu mbalimbali nikichangamana na makabila tofauti wanawake wa kihaya ni wachafu kwa tabia na hawafai kuolewa.
Hawa watu hawaheshimu ndoa kabisa...
Habari za ku elekea weekend Wana JF.
Imekuwa ni kawaida ya hapa JF hasa jukwaa pendwa la MMU kila siku kusikia lawama na manung'uniko miongoni mwa wanandoa hasa Wanaume wakiwalalamikia Wake au...
Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko. Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu...
Habarini wanajamvi.
Mara nyingi huw navaa nguo za dukani au za mtumba na huwa mume wangu ananiambia umependeza mke wangu.
Sasa tatizo ni pale ninapovaa nguo za kushona kama kitenge, kitu cha...
Habari zenu wapendwa, leo bana Kasinde kanasa ndani ya State ya Obama, loooh siamini kama nimenasa la la laaaah daaah!! msinicheke jamani maana najua nilijigamba sana. Wacha niwaelezee mkasa mzima...
wadau kuna jambo nimeliexperience kwa muda sasa kuhusiana na tabia za baadhi ya wasichana. ni hivi mwanaume unaweza kuwa na urafiki wa kawaida kwa maana ya mazoea na msichana fulani, siku za...
Habari wanajamii Forum.Hii kitu nimekuwa bado cjaelewa hivi unaweza kupenda mtu kabla ya kumtamani?????mfano kumtamani kwa muonekano wake,mavazi yake na vitu vingine kama kwa mwanamke...