Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana MMU, Nimekuwa nikifikira juu ya swala hili kitambo na hatimaye kuamua kulileta mezani ili tulijadili kwa pamoja. Kumekuwa na mitafaruku ya kimapenzi ya hapa na pale (kuingia kwenye...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Huwa waja wote tunajua kuwa wakumtegemea ni Mola lakini M.Mungu katupatia viongozi wa kuuongoza. Katupatia matajiri wa kutupa ajiri za kuendesha maisha yetu ya kila siku Hawa wote wanamtegemea...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za leo wadau, karibuni pamekuwa na kesi nyingi za wanandoa kukosa uamininifu na mabalaa mengine kibao. Mimi nadhani imefika wakati watu waanze kutanguliza furaha na afya zao mbele kuliko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumain mmeamka vyema ndugu zangu. Pia wale ambao hawajaamka salama tuwaombee. Mwenzenu yamenikuta. Asubuhi hii nimepata taarifa kuwa mchumba wangu ninaempenda na kumthamin sana anatoka na...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Niko kwenye daladala hapa gali imejaa tumesimama, wadada kama wawili hivi wazuri. Wamevaa suruali na vitop vifupi kias kwamba akichezesha mkono tu chupi inaonekana maana imepanda juu zaid ya...
0 Reactions
79 Replies
16K Views
Habari ya Leo wana MMU!! Hope mpo poa na mmeianza wiki nyingine kwa uweza wa Mungu, Hii ni story nimeishare mahali, nikaicopy na kuipaste hapa ili tushee wote. Unafanyaje unapokutana na...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wadau wa JF. Wanaume wanalalamikia na ndivyo ilivyo hawawezi kwenda nyavuni kwa bao tatu nne nk wanachoka haraka. Pia kuna wengine kusimama wakatembea ni shughuli pevu mwanamke awe...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Women are automatically more attracted to the guys who make an effort to start conversation, showing initiative and consistency.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Yani siku nikiwa kwa mguu au nikpanda dala dala huwa sibahatiki kukutana na 'watoto wazuri' tabu nikiwa kwenye private Car, ndio nawaona waleee! Na hivi breki zenyewe za kupampu pampu, mpaka...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimekuwa kila nipandapao chombo cha usafiri, iwe gari( binafsi/dala dala ), piki piki, au hata baiskeli dushe huanza kusimama pindi tu chombo hicho cha usafiri kinapoanza kupita katika bara bara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Wanaume hatuitaji ngono tu kutoka kwako: Wanawake wengi wanaamini au kufikiria kwamba wanaume wengi wanataka sex kutoka kwao. Hii ndio inawapelekea kuingia kwenye mahusiano wakiwa wamelibeba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Waungwana mwezi uliopita wife alikuwa anaumwa sana nikamweleza rafiki yangu aniazime pesa za kumtibia nikapewa baada ya wiki kupita nakuta wife anatoka gest na rafiki aliyeniazima pesa nikawa...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
habarini wana MMU mimi ni msichana nilikuwa nina boyfriend wangu tumekaa miaka nane tukipendana sana na hata nikiwa mbali alikuwa akija nilipo kunisalimia na kunijulia hali hii hapa ni mara ya...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Maisha ya mapenzi yana uwanja mpana sana hasa katika dunia ya sasa ya utandawazi. Ukiangalia maisha ya siku hizi na swala zima la kuoana wanaume tumekua waoga sana ktk kuchagua wachumba na Hii...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Leo patachimbika lazima nimuone mtoto.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Salaam wanajamvi. Leo nimeona niwashirikishe stori hii.. Iliyo nifanya niogope kuchepuka tena kuliko maelezo ya kawaida. Nikiwa na miaka kadhaa ya ndoa yangu changa, nilipata mchepuko ambao...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Jama mimi nahitaji gf ambaye atanifaa kindoa na kimaisha ndani na nje mwanzo na mwisho juu na chini shida na raha napatikana zanzibar namba yangu ni 0774368196
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I love me some him i will never love this way again,i love me some you another man will never do!..... I love me! i love me ! i love me some him!.......Never love this way again!....
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna watu wana tabia za ajabu sana. Unapishana na mtu na mpenzi wake wanatembea wameshikana viunoni, kaka amemshka dada,dada kamshka kaka au wote mmeshkana viunoni mnatembea njiani! Hivi hii ndo...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…