Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi. Tuliwasiliana kila siku ila kuna...
2 Reactions
216 Replies
14K Views
A Brazilian woman's life quickly turned into one of the worst when she reconnected with her biological mother and discovered she had a brother she had never known about. Unfortunately, she had...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Stage ya kwanza 1. Akiwa rafiki (unamfukuzia) hata kama...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Ni tatzo kubwa kwa wanawake pindi wakikoseaa. Utamkuta mwanamke kamkosea kipenzi chake cha dhat' awe MCHUMBA' MKE WA NDOA' NA NK. lakn anaitaji yeye aombwe MSAMAHA' yan il swala cjajua linakuwaje...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Just asking...............!
0 Reactions
177 Replies
14K Views
Kwa kawaida wanawake wanamajukumu mengi sana kuliko wanaume. Kuna suala la kulea watoto, kulea wazee au ndugu wa familia, kuna suala la kujua familia itakula nini, nini hakipo na vituvya namna...
10 Reactions
39 Replies
9K Views
Hivi ni baadhi ya vitu vinavyomkera MWANAUME anapokuwa na mahusiano na MWANAMKE. 1.Kulialia njaa kila wa kati. Hapa ni pale mwanamke anapotafuta kila namna ili kumu exploit,mwanaume. 2...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau MMU habari za asubuhi ya leo? Nimewaza kwa kina na kuona ngoja nishare na wenzangu. Ni hivi kwa nini watu wengi hupenda kuolewa/kuoa watu wasio wa kwao? (home boy/home girl) Mimi...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
The first thing you should really know about the vagina is that you should get yourself a group of girlfriends with whom your comfortable enough comparing notes and experiences! But, if you...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Juzi moja tulikwaruzana kidogo na my waif wangu sasa mi nipo seblen nachek mdahalo wa akina warioba yeye waif akaingia chumban akashika madonge eti anataka kuyameza huku ni mjamzito duh...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF MMU. Nina girlfriend wangu takribani mwaka na miezi kadhaa niko naye. Tatizo kubwa alilo nalo ni kiburi ambacho tangu niyajue mapenzi sijawahi kuona,hanisikilizi kwa chochote...
0 Reactions
71 Replies
50K Views
Hivi karibuni nilisafiri kwenda Iringa kumsindikiza rafiki yangu kufunga ndoa. Baada ya sherehe nilikaa pale kwa mwenyeji wangu kwa siku tatu zaidi ili kuufahamu mji wa iringa vizuri. Siku moja...
10 Reactions
69 Replies
12K Views
Kuna katabia kamezuka sana umu MMU. Baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basi huamua kupost vitu vya kutupondea wanawake. Hivi mnadhani maneno yenu ni sheria kwetu?. Embu mtuache...
10 Reactions
138 Replies
11K Views
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea. Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma...
0 Reactions
189 Replies
28K Views
Kila mtu ana sababu iliyompelekea kua na tabia ya kupenda penda wanawake au wanaume. Mimi tabia ya ubazazi niianza baada ya kutomridhisha mpenzi wangu. Nilikua na mpenzi wangu,ndio alikua...
0 Reactions
133 Replies
10K Views
Nikisema malaya simaniishi wanaojipanga barabarani pekeyake ata wale ambao hawajipangi barabarani. Nimefatilia sana nimegundia wadada wengi wanaojichora matattoo uwa wana tabia chafu sana za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau wa MMU nimeghafirika kidogo. Mimi nimezaliwa na kukulia uswazi wakati waifu wangu ni wa kishua. Jamii niliyokulia (hukoo uswazi kwetu) kuna katabia ka kuwapa watoto majina kulingana na...
5 Reactions
104 Replies
14K Views
Mm nina miaka 19 na nusu hivi nina tamani sana niwe na mpenzi kuna madem ka 4 nimewaambia //NITAMKUBALI M1// lkn naambulia story tu wanasema ati wana watu wao nifanyeje ili nipate angalau m1
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke ambaye nitamuoa kwa mkataba (tenable for 5 years, renewable subject to satisfaction). Nimegundua kuwa wanawake wengi ni very stupid na akili zao zina deteriorate (progressively...
3 Reactions
131 Replies
10K Views
I hate this..! nani kawaambia nataka kuona dushelele? yani kila nikisign in nakuta mijitu inataka kuniadd then niki wavideo call, wananionesha midushelele... i hate it...! midudu yenyewe mibovu...
8 Reactions
91 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…