Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23] nakumbuka niliwai...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Daaaah!! naweza kusema ni hatari tena balaa kubwa Naandika Uzi kwa masikitiko baada ya kupata taarifa chafu kuhusu binti flani aliyekua X wangu Nlikutana na huyu binti mwaka 2016 wakati huo...
2 Reactions
30 Replies
53K Views
Kuna binti kanionesha kunipenda anaonekana anajielewa Moore mstaarabu akili zimo kidogo Nilimwambia mapenzi ya mbali Yana changamoto sana akadai ameanua kuwa na Mimi maisha haya mafupi ya...
5 Reactions
17 Replies
929 Views
Habari bandugu na jamaa natumai mu wazima wa afya naomba kufikisha ujumbe wangu wa leo kwenu nyie mliooa ama kuolewa kuwa tuachieni nafasi basi na sie maana mekuwa mkikaba hadi vivuli,utakuta mtu...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Napata tabu sana,siwezi hata kukaa nje nikapunga upepo, maana,mh!!
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Mada inaanza kwa swali msahangao kwamba hivi kweli huwa inatokea kabisa chini ya jua kwa mwanamke kumpenda mwanaume kwa dhati kabisa na kulia na kukosa raha juu yake. Kweli...
15 Reactions
104 Replies
17K Views
Wakuu, Huyu binti simuelewi,inawezekana vipi asinijue jina ili hali nimemwambia mimi ni mpenzi wake?
2 Reactions
18 Replies
826 Views
Samahani kaka magical power. Mimi naomba nisaidie kisheria au kimawazo. Mimi nikilema sina miguu huwa natumia baskel Hata kutembea natumia baskel kama naenda mbali huwa kuna kijana namuomba...
20 Reactions
121 Replies
5K Views
#STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!! SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii... Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa. Penzi jipya...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Ewe mdada, Mwanaume wako atakaye cheat, atacheat kwa sababu yeye ni cheater. Sio kwa sababu eti huwezi kupika, au wewe sio mtaalamu kitandani, au mlikuwa na mtafaruku. Hakuna kitu ambacho unaweza...
2 Reactions
12 Replies
657 Views
Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu...
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Eti anakwambia kojolea nje. bandugu zangu, hiyo si ni sawa na kupiga punyeto tu my friends, ladies and gentlemen? Hakuna haja ya kukutana basi kama ni hivyo. Kupigishana nyeto haikubaliki nyakati...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari. Tunatambua nyumba za ibada zilikua sehemu ya kumshape binadamu hasa hivi vimbe vya upande wa pili , vizuri na vyenye sura na maumbo ya kuvutia maarufu kama wanawake , ndiyo maana wanaume...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
21 Reactions
138 Replies
5K Views
I'm talking to you sisters. Next year you'll be 30. Stop your stupid questions as to where did you get my number. Don't say you were not warned. 4 months left. Continue
37 Reactions
722 Replies
43K Views
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…