Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

With all the Love and Respect kwa watani zangu Wakurya but, I think kutahiri bila ganzi is unnecessary physical, and emotional abuse. If this's still going on nowadays, madai ya kuwa ME anakuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ukiwa na demu wa aina hii ni nini dawa yake ?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Memories ni kitu kibaya saana na kinachoumiza zaidi baada ya kuachana na mpenzi wako. Hata kama mtu ulikua humpendi ila kuna that part of him or her itakayokuwa inakufanya umkumbuke na hapo ndo...
4 Reactions
108 Replies
13K Views
Miaka mitatu iliyopita nilikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu. Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa...
4 Reactions
247 Replies
21K Views
Kwanza nawasalimu. Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kuoa aliye tayari, awe na mwili wa wastani tu au mwembamba mrefu wa wastani tu, awe ameajiliwa, Elimu kuanzia form 4 na kuendelea...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naitwa Geofre wa Mbeya nna miaka 23 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo,awe maji ya kunde,mnene kiasi,mrefu kiasi,awe na mapenzi ya kweli pia awe anajali upendo wake.kuhusu mimi nna...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Mimi kuna jambo hili la ufumanizi lanikera sana tena sana japo mimi pia mwenzangu atakuwa anachepuka lazima najua. Utakuta mwanamke eti anaenda mfumania mmewe au BF wake nyumba ya kulala wageni...
13 Reactions
127 Replies
19K Views
Jana jioni nimemtembelea rafiki yangu mmoja. Huyu jamaa huwa haishi kulalama kuhusu tabia ya ulaji ya mkewe na kujiachia jambo linalofanya avimbiane kuliko kawaida. Sasa wakati tunapiga story...
7 Reactions
73 Replies
9K Views
Kama unataka Mahakama ivunje ndoa yako basi huna budi kuthibitisha mambo yafuatayo, ikumbukwe kuwa kuvunja ndoa si jambo rahisi sana, ila Sababu hizo ni mambo ambayo yatakayofanya ndoa ionekane...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti. Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la saratani,Watafiti kutoka...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Ilikuwa miaka kadhaa iliyopita nilipoletewa msichana wa kazi maarufu kama house girl..ukimuangalia kwa sura alionekana mpole na mnyenyekevu. Umri wake haukua mdog sana kwani alikuwa na miaka km 20...
4 Reactions
202 Replies
27K Views
Hii imetokea juzi hapa mwanza, kuna mama mmoja mzuri sana wa sura (Mama G) kaolewa na tajiri mmoja Dar. kapewa gari la kutembelea (Cruiser) na kila kitu kwa kweli. Sasa kumbe toka wiki iliyopita...
3 Reactions
120 Replies
12K Views
Jambo Jamiiforums Msikilize/Msome huyu dada Huyu kaka ni mzuri sana na ninampenda kweli kweli!! Ingawa ni mume wa dada mmoja anafanya kazi pale (jina kapuni) na inaonekana anampenda sana mkewe...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5...
2 Reactions
132 Replies
14K Views
Jamani naombeni msaada wenu. Hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume. Nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi...
2 Reactions
97 Replies
11K Views
Katika mahusiano kuachana ni jambo la kawaida hasa unapopata mpenzi unaeona ana vigezo ulivyokuwa unavihitaji. Lakini kwa upande wa kina dada huwa hawatumii saikolojia anapotaka kumuacha mpenzi...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania hasa ile ya ndoa, kuna aina zifuatazo za ndoa:- 1: Ndoa ya kimila 2: Ndoa ya serikali 3: Ndoa za kidini na 4:160. Presumption of marriage Ndoa itokanayo na...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Ushauri please. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mimi kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa...
1 Reactions
134 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…