Jana mama watoto wangu kapata mapacha kwa mara nyingine tena, mapacha wa kwanza walizaliwa tarehe 20/04/2012 wa kike mmoja na wakiume mmoja na tena jana vivo hivyo wa kike mmoja na wa kiume...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe.
Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la...
Jana nilikuwa safarini kuja Kibondo kwa bibi kama nilivyo eleza lengo langu sio kuua japo bibi alinipa option
1, Kuua
2, Kutengua ndoa
3, Kumfanya awe anisi
4, Asiowe katika maisha yake yote kila...
I hope u guys are all good.
Jamani am fed up with these men wanaokuja ofisini na mahasira sijui wanatoka nayo wapi. Hivi mnajua ni kiasi gani mnatuumiza wenzenu na ukiangalia sisi ni kama...
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma, Hafsa Ally akielezea mkasa uliomsibu kwa waandishi wa Global.
Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Hafsa alisema tukio...
Wana Jamiiforums hususani wa kona hii MMU kuna kijiji ishu fulani hivi sijui niite ni tatizo au vp, naomba nilielezee kidogo.
Miaka kama minne iliyopita wife alipata ujauzito na ulipokuwa kabisa...
Kwenda kuoa ,nikikaa peke yangu huwa nawaza na kufikiri juu ya siku hii kuu ambayo inabidi niipite ,tatizo mimi situmii,kilevi wala tumbaku, ni vinywaji baridi tu.
Sijui mliokwishatutangulia...
Ni ukweli ulio wazi wanawake wanahitaji pesa wanaume wanahitaji kugegeda, kwenye mapenzi dhana ya upendo ni ya kufikirika tu wanawake wanalalamika wanaume ni wasaliti hawana mapenzi ya kweli na...
Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu.
Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana...
Habar zenu wapendwa, jamani mimi kuna jambo lanitatiza ni kuhusu hii ndoa ambayo naishuhudia kutetereka kwake kama sio kufa kabisa ni hivi; miaka kadhaa iliyopita walifunga ndoa lakini...
Kuna huyu dogo ambaye ni mdogo wa rafiki yangu kipenzi. kuna kipindi niliwahi kumtokea akanipotezea. nikaona isewe tabu nikaachana naye.
Sasa kitu ambacho sielewi ni wivu uliopitiliza juu ya huyu...
Amini au usiamini wadada wenye ile miguu iliyopinda matege na wale wenye miguu iliyoingia ndani magobwe wanahitaji mahari kubwa sana kuwawowa ,nadhani hili ilikuwa hamlijui ,ndio raha ya JF ,na...
Fomu toka kwa "BABA MKWE" mtarajiwa.
FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU.
KIJANA MLENGWA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA.
Mimi ......................., natuma...
Habari wana MMU
Katika pita pita zangu nilikutana na jambo nikajifunza kitu pengine huu ulikuwa mtazamo wangu hivyo ningependa kujua mitazamo ya wengine.Mtanisamehe kama nitachanganya lugha lakini...
naanza mjadala wangu kwa kutanguliza maneno haya kwenye biblia maana ndio kitabu ninachokiamini ingawa sikifuati kwa asilimia nyingi
-ataye mke amepata kitu chema na anapata kibali mbele za...
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko...
Sijui ndo maendeleo ama kitu gani hapa.
.
¡°Shocking images out of a classroom in Nebraska[we are told in a controversial new article] illustrate how 11-12 year olds in 6th grade are being taught...
Salam kwa wana jamvi wote.
Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tu.
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja...