Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mwenye pini puani hata kama angekua mzuri vipi, huwa natamani kutapika hasa wengine wanaweka mapini makubwa yanakua kama kamasi limening'inia,yaan wanaboa na katika uchunguzi wangu wengi...
1 Reactions
76 Replies
12K Views
Habari zenu wanajf wenzangu. Leo napenda kushirikisha hii mada maana naamini kuna washauri na watu waliopitia hali hii ya kupoteza wenza wao waliowapenda sana(maana wengine hushukuru maana upendo...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wanawake wa siku izi bana, unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man While Yeye mwenyewe; Makalio feki. Macho feki. Rangi ya ngozi feki. Kucha feki. Nywele feki. Huyu Really Man...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Wanasema kama mmependana kweli lakini 'mkakubali kutokukubaliana' kufuatana kiimani, Yaani kila mmoja kutokuwa tayari kumfuata mwenzake katika kuamini (Kubadili Dini), Basi eti, Hakuna shaka...
4 Reactions
87 Replies
38K Views
My take: Mimi Naamini Kabisa Binti Alielelewa Katika Maadili Mema Hawezi Kuvaa Namna Hii, But At This Time Ukikodoa Tu Macho Kati Ya Wanawake Kumi, Nane Utawakuta Nazo, Hii Si Sawa Jamani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutongonolewa vema Kunakusababishai mood mbaya ewe mwanamke. Sote tunatambua kuwa ngono ni muhimu katika maisha yetu hasa wanawake, mwanamke anaefanya ngono angalau mara mbili kwa wiki "immune...
4 Reactions
122 Replies
14K Views
habari zetu waungwana natumaini mpo sawa na mnaendelea na shughuri zenu za kila siku,dhumuni lililonifanya niweke ili bandiko n nia yangu ya kutaka kuoa hivi karibuni kama kuna mrembo mwenye hizi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hello JF habari yenu, naitwa Collins 29,ni mwanaume. Nina elimu ya chuo(IFM) degree ya 1. Ninafanya kazi kwa sasa. Napenda Music,kuogelea,kusafiri,mpira(Man Utd),kwenda beach,movies,kusaidia pale...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kusema ule ukweli, huyu shemeji/wifi yenu toka niwe nae huu ni mwaka wa 7 sasa na hata siku moja sijawahi kumtandika kibao hata kamoja. Jana sasa Kuna sehemu tulikuwa tunaenda ni nje kidogo ya...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Sheria ichukue mkondo wake dhidi ya mume asiyeridhishwa na mkewe. Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo na huku...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Habari wanaJf. Nimekuwa nikisikia mengi malumbano na migongano mbalimbali baina ya wapenzi na wanandoa. Migongano ambayo 90% inasababishwa kupitia simu za mikononi. Kwa mfano,me/ke anapoziona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mtu mzima akilia kuna tatizo. Mwenzetu mmoja ameweka kwenye dawati langu hii habari hapa na anaomba mawazo yangu ili aweke mambo sawa... Anasema hivi " Nadhani nina furaha kwenye ndoa...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanawake wamekuwa wakilia gender balance hadi nyumbani, sasa wanataka nyumba na yeye awe anasauti kama mwanaume. Ukweli utabakia kuwa Mwanaume ndio kichwa cha nyumba. Mbona mtoto akifanya kosa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa..! Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uzima telee. Mimi ni kijana wa kiume,ninatafuta mwanamke wa kuoa wasifu wangu ni kama ifuatavyo:- 1.umri wangu upo kati ya miaka 25-30...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanaume mje mtujuze. Mume anapomzuia mkewe kwenda kusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini? Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Ni huyu binti wa kingoni. Tulifahamiana kabla ila urafiki ulikuja kukolea baada ya yeye kuishiwa booom. Alinionyesha zaidi ya mapenzi, alinijali na kunifanya niamini kuwa hakutakuwa na mwanamke...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna watetezi wengi wa haki za binadamu hapa Bongolend, ni jambo zuri. Lakini utakuta watetezi hao wamejigawa kwa mambo fulani tu, wengine wanatetea wanasiasa, wengine akina mama wengine watoto...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanaume huu ni ushauri wangu na uzoefu wangu maana niliwahi kuishi na mwanamke mwenye degree tena ya ualimu ni shida. Kwanza graduates wengi wakati wowote akitokea mtu mwenye pesa nyingi...
14 Reactions
163 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…