DATABASEE
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 588
- 589
Habari zenu wapendwa..!
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uzima telee.
Mimi ni kijana wa kiume,ninatafuta mwanamke wa kuoa
wasifu wangu ni kama ifuatavyo:-
1.umri wangu upo kati ya miaka 25-30
2.elimu yangu nina bachelor ya computer science engineering
wasifu wa mwanamke nimtafutaee ni kama ifuatavyo:-
1.umri uwe kati ya miaka 21-29
2.elimu kuanzia kidato cha nne.
3.kabila lolote.
4.awe anayejitambua.
5.dini maelewano.
6.kama kishazaa,asiwe na zaidi ya mtoto mmoja.
Aliye tayari anajua pm panahusika.
Nb:wanajukwaa comments za kijinga hapa sio mahala pake.ahsanteni.