Dear Ladies mlio kwenye ndoa zenu, nawasalimu
Sio kila mwanamke utakayemuona single huko mtaani kwenu basi unamchukulia poa kwa kumuona kama kakosa bahati kwa kuwa hajaolewa kama wewe.
Wapo...
BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi...
MISHANGAZI
(1). Si watu wa kupenda mawasiliano ya mara kwa mara kwa wapenzi wao. Wanahitaji mawasiliano yenye umuhimu.
(2). Wakihitaji hela wanajua matumizi sahihi ya hela anayokuomba. (Mfano...
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu...
Huku kuna familia fulani mahali. Hili ni sakata la kweli sema ITV haijajua ingetangazwa.
Huyu baba tumuite Martin , na huyu mama tumuite Jeska.
Martin alikuwa mfanya biashara wa kati. Alikuwa...
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto...
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita...
Siku ya tarehe 19 ,, mpenzi wangu aliniomba kiasi fulani cha pesa ,, nikaona nitumie mwanya huu kupima kiasi cha upendo alicho nacho mpenzi wangu ..
Nilimpatia kiasi alichoniomba bila tatizo...
Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti...
Hello,
How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia...
Habar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa...
Kama ilivyokuwa kwa "Mwijaku wa zamani" aliwacheka wazinzi wenzake waliomtangulia kubumbuluka kwenye skendo ya uzinzi. Ndivyo ilivyo hata sasa kuna wazinzi wengine wanamcheka "Mwijaku wa sasa"...
*Huenda ikakushangaza ikakufurahisha au ikakuogopesha ila iko hivi kuhusu porn videos nchini Marekani pekee*
Kila baada ya dakika 39 video mpya ya porn inakuwa imekamilika kuandaliwa
Kila...
Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa...
Habari za muda huu mwana JF?
Natumaini siku yako iko poa kabisa.
Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda...
Kuna kitu sikielewi kabisa, kwanza niwe mkweli mimi napenda sana pisi kali zenye english figure aka models hivi
Kupenda kwangu aina hio ya wanawake kumenifanya niangukie mara kadhaa kwa mabinti...
Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion?
Mbaya zaidi...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi...
Ndugu zangu salaam
Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na...