Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

so i would like an introduction for some of you
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Jumapili nilijisikia kuweka mke wa rafiki yangu kwenye whatsapp kama profile picture, kiroho safi tu. Sasa jamaa kamaindi kinoma, anasema tumefanya kwa siri we sasa tumeona tumuweke wazi...
3 Reactions
92 Replies
15K Views
Hivi mwanaume mtu mzima wa zaidi ya miaka 45,unatongoza binti mwenye miaka 16,17 au hata 22. Unakuwa umefikiria nini hasa, hivi watoto wa umri huo si watoto wako hao. Mwanaume mwenzangu unapata...
0 Reactions
182 Replies
25K Views
Habari zenu jamani. Nina rafiki yangu amekuja Dar es salaam kusoma yupo chuo kikuu fulani hapa jijini,kwasasa ni mwaka wa tatu, na mwezi wa sita anatarajia kumaliza. Bahati mbaya mwaka jana...
2 Reactions
98 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu Poleni kwa mihangaiko ya siku. Am an alpha male but kwa binti wa Kikenya nimeoga. Nilimfahamu kupitia shem wangu. she is a true African queen jamani niliapa kufanya juu chini...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Wakuu mambo. Hapa mtaani nilipopanga chumba kuna kijana mmoja chotara,sina mazoea nae ila kuna siku siku aliniomba namba yangu ya simu,kwa kuwa ni jirani yangu sikuwa na hiyana na hasa...
1 Reactions
96 Replies
12K Views
1.You often made her cry. You made her cry when she found out that she was pregnant. She cried when she gave you food. She cried the first time she held you in her arms… She cried with...
13 Reactions
36 Replies
5K Views
Hello Natafuta rafiki wa kike atakayekidhi maudhui ya mada iliyotajwa hapo juu. Sifa zake:- Awe mrefu,mweupe,mrembo,umri kati ya 20-27,awe independent and decisive,awe Shinyanga, Mwenye sifa hizo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba nitumie nafasi hii kwa niaba ya wanandoa wenzangu kuwapa pole masinglez wote popote pale mlipo.Naamini mpaka sasa na baridi hili mtakua katika hali mbaya sana.Msimu kama huu ukifika ndio...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Huu ni waraka wangu kwako wewe mdada ninaekupaga lifti asubuhi. Nimevumilia sana mpaka nimechoka aisee maana imekua ni kero sana. Toka tuanze biashara ya kupeana lift imekua tatizo sana mpaka...
57 Reactions
357 Replies
34K Views
Wanajamvi, ni kama wiki tatu hivi tumebahatika kupata mtoto wa kwanza lkn kabla wife hajajifungua nilimpeleka kwa mama yangu kwaajili ya huduma baada ya kujifungua, ndo ilikua mara yake ya kwanza...
1 Reactions
261 Replies
30K Views
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Watoto kwenye ndoa sio chanzo cha furaha, na wala hawaji kuleta furaha bali wanakuja kuongeza na kuendeleza furaha iliyokuwepo baina yenu ninyi wapenzi. Ukiona mtu anasema watoto wameleta furaha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta rafiki mpya wa kunifaa maishani mwangu. Namba yangu hii hapa 0752852278 karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimependa uipate MwanaJF Kweli uchumi wa mwanamme unapoyumba ndani ya ndoa na familia ni mateso na mikosi Mungu aepushie mbali. Ni hivi, jamaa yangu kapata mitihani ya kimaisha kama miezi 8...
2 Reactions
98 Replies
12K Views
it only started as a fantasy but now turning into a commitment. kuna some women who are living out of deadly traps i have come to conclude that.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Online dating: Hivi hizi online dating huwa zinamafanikio kweli kwani nimekua nikihusisha na dating kwa njia ya mitandao kama afrointroduction.com,fillipinocuspid.com ila hasa hii ya...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Jamani upweke unauma sana endelea kusikia mwenzako anasema ila usikufike.Tatizo hili la upweke limekuwa kwa watu waaina mbali mbali ikiwemo wanawake na wanaume. Chanzo ni kufiwa au kukosa...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Asee kwa warembo wa arusha naombeni kampani yenu kwa leo...niko bored ...niko karama lodge...ila later ntakuwa town club na nini poaa....pm me
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi naweza sema nawafahamu wanawake kama 8 wa hapa JF japo hatufahamiani sana lakini kwa conversation chache ngoja niandike sifa zao pengine zitakusaidia kuwaheshimu. Elimu: 71% wana degree...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…