KUFANYA KAZI KWA BIDII KAZINI/BIASHARANI LAKINI SI KATIKA NDOA YAKO
Kampuni yako, kazi au biashara inaendelea kwa sababu unaiongoza; ndoa yako pia itakua na kustawi ikiwa utaiongoza na kuwekeza...
Kutokana na kusafiri maeneo mengi na kuona vwanawake wengi hali hii imepelekea hawa watu kuwa malaya na wanahonga sana malaya wa njiani kuliko huduma nyumbani kwao.
Hao watu kutowa hela za posho...
Natumai mko wazima wa afya njema, na kwa wale wenye changamoto za kiafya MUNGU awafanyie wepesi mpone haraka na kuendelea na majukumu yenu ya kila siku.🙏
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri...
Hii movement kwanza ni haramu na imeleta madhara makubwa katika jamii yetu ya sasa kuliko faida au tija. Watoto wetu wa kike wamekuwa brainwashed kuamini vitu ambavyo kiuhalisia havipo na...
Habari za mchana huu wakubwa, Poleni kwa misiba na Mihangaiko ya maisha ya kila siku!
Eeeh bhana, hebu Ngoja nielekee kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa Miaka 25+ nina Mke naishi naye...
Inaonekana mwanaume mwenye presha ya maisha, anahangaika na kodi, anafuatwa na madeni, na bado anampenda mpenzi wake kwa moyo wote, ndiye anayependwa zaidi kuliko yule aliyestabilize, hana stress...
Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza.
Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
Mfano mwanaume ni muongeaji sana pia mjuaji kila kitu ana kijua yeye…
Pia hakutafuti mpaka akiwa na shida zake yaani ana tumia udhaifu wako nisaidieni kujua
Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume,
Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume,
Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana...
Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo.
Ukimya wake unamaanisha, ameumia
Ukimya wake...
Ladies njooni tubadilishane uzoefu kidogo, wewe nini kimeshawahi kukukata au kukupunguzia msisimko? (kwenye mahusiano yako ya sasa au yaliyopita)
Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa...
Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana.
Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana...
Hakika mapenzi upofu sijui tusemaje kwa ndugu Yetu huyu baada ya kukataliwa kwa kuzipanga iphone zaidi ya 90 😀😀!!!
Wakati ambao iphone 99 haziwezi kununua upendo! Ndipo kilichomkuta Jamaa mmoja...
Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m...
Pale ambapo asubuhi unagombana na mkeo ama mwenza wako ambaye mnaishi nae na baada ya hapo kila mtu anaenda kwenye mishe zake za kila siku.
Jioni unajikuta wewe ndio umewahi, ukiwa umepumzika...
Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli.
Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda...
Ndugu zangu, kutokana na wanawake kuwageuza na kuwafanya wanaume kama vitega uchumi vyao kwa mgongo wa lazima kuhudumiwa, mahusiano na ndoa , vifuatavyo ni vigezo vya kutoa hela kwa mwanamke...
Hii sasa naona mambo yanaenda kuwa magumu
Siku za karibuni nikiwa na mwenzangu tunafanya tendo Mara ile nakaribia nikakatishwa
Ghafla kumuuliza nini shida akanijibu hivi
Nanukuu' hivi ndivo...