Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy. Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Maajabu hayaishi Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa Mama mkwe...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu napitia wakat mgumu sana,hapa nimejifungia ndani mawazo lukuki Mwez uliopita mchepuko niliodumu nao kwa karibu miez6 umeniacha sabab ya mimi kuendelea na mahusiano na baby mama...
5 Reactions
13 Replies
819 Views
Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hivi😁...
4 Reactions
12 Replies
763 Views
Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Eh, mniache Nimalizane na Birthday yangu Me.maswali mengine sina majibu Kuna mrembo ameulizq hapa Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very...
14 Reactions
146 Replies
6K Views
Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you. Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada...
15 Reactions
92 Replies
4K Views
wakati wa tendo la ndoa ,nisaidieni sababu ili ka zinaepukika . Je iliwai kukutokea ?
2 Reactions
3 Replies
414 Views
Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Wadau niaje? Last sunday nilikuwa mdogo sana kwenye lunch date na mdada mmoja niliokuwa na interest nae. Mdada tulikutana nae kwenye fast jet 1 week ago, tulikuwa tunaenda Mwanza tulipangwa same...
10 Reactions
307 Replies
38K Views
Wasalaam, Yule mwanamke wa kiganda niliyevutiwa nae kwa jinsi alivyo na adabu,mpole,mcheshi na mchapakazi, Tena anayejua mahaba kuliko wanawake wote wa Tanzania..... Baada ya kusikia nimezalisha...
1 Reactions
4 Replies
493 Views
Mambo 5 ambayo MWANAMKE hutakiwi kuficha pale unapoanza MAHUSIANO! (1) Umri wako; Kuna wanaume wanajali kuhusu umri, najua unaogopa labda ukimuambia ukweli atakukimbia, ila jua kuwa ipo siku...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au...
27 Reactions
42 Replies
5K Views
Nani anataka hii mwezi wa sita nina mpango wa kufanya Sex toure kwenye mikoa kama mitatu hivi TANGA,SINGIDA na MUSOMA, mwaka jana nilifanya sex toure ya mkoa mmoja tu mingine sikufanikiwa ila...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana. Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle. Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni...
2 Reactions
9 Replies
667 Views
Habari za jioni. Naona kwenye mitandao mingi kunatrend suala la vitoto vya 2000 kuwapokonya soko waliowazaa. Ni kweli suala hili au linatrendishwa tu.Waliofanya utafiti tupeni ushuhuda mimi huku...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kila mwanaume aliyeoa msaidizi wa kazi za ndani huishi kwa amani na utulivu kwa kuwa anajitambua na kuelewa wajibu wake katika familia. Hayo yamesemwa na Sajent Mwajabu Mzee kutoka Dawati la...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa...
15 Reactions
118 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…