Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asikwambie mtu JAMAN hili n janga la taifa kama sio dawa sugu YAAN wengine wake zetu wanapiga maombi mpaka basi na wanavyoongeza maombi na Hawa NDUGU small house wanaongezeka Mwenye kujua maombi...
2 Reactions
1 Replies
331 Views
Niko zangu huku mbeya kujitafutia riziki,katika mishe zangu nikakutana na pisi kutoka zambia,nikaiimbisha ikanielewa,sasa jana ikabidi initunuku tunda,wakuu demu ni mtamu sio poa,afu kuna raha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa...
4 Reactions
8 Replies
523 Views
Bado sijafika ila safari yangu ya mahusiano imepitia njia kadha wa kadha na visa hivyo nitavijumlisha hapa... Mapenzi haya acheni kabisa, hapana yaletea mazoea no mara waaah!. Nakumbuka ilikuwa...
7 Reactions
27 Replies
7K Views
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna...
21 Reactions
566 Replies
15K Views
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga. Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.Nimetoka zangu kuoga kurudi chumbani nakuta kuna missed call katika simu yangu ya mkononi katika kuifungua nikakuta ni new number. Nikataka kujua ni...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kisaikolojia kuna falsafa inaitwa "Monkey branch" ambayo inaeleza kwamba ni hali ya mwanamke/mwanaume kuamua kuanzisha mahusiano mapya wakati huohuo anakuwa kwenye mahusiano ya kudumu ambayo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam wana jamvi. Nimeona nianzishe uzi huu kwa ajili ya wote tunaopitia STRESS KALI aidha kwenye mahusiano, familia, biashara, afya, na kadhalika Watu wengi wakiwa na stress huenda bar na...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama...
3 Reactions
11 Replies
672 Views
Salaaaaaaam!!!! Hawa ndugu zangu wajeda nimeishi nao makimbini n.k lakini wanasifika kwa kutoka sana kimapenzi na wadada Japo kuwa wanasura ngumu kutokana na nature ya koz na hawanaga maneno...
2 Reactions
105 Replies
13K Views
Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa...
4 Reactions
12 Replies
875 Views
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae Yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa...
40 Reactions
191 Replies
8K Views
nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya...
10 Reactions
15 Replies
722 Views
Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa...
5 Reactions
17 Replies
866 Views
Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au bado mnabisha? Huyu dada mpaka anazungumza haya anafahau ukweli wa wanawake wenzake Binafsi nakubaliana naye kwasababu nimeona mengi sana
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko...
29 Reactions
251 Replies
9K Views
Rihanna is the blueprint of what every modern day woman wishes to be Have a success career, make millions, retire early, get a handsome husband, have children & just enjoy life Unfortunately not...
5 Reactions
15 Replies
731 Views
Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
10 Reactions
15 Replies
578 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…