Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

​Ndugu zangu mi najizungumzia mwenyewe bila kuzunguka wala kuwapotezea mda, nimeoa nina miaka 7 sasa kwenye ndoa na sijawahi kumcheat mke wangu. I trully love this Woman, and so this makes...
16 Reactions
144 Replies
17K Views
Jumapili iliyopita niliamua kumtoa out mpenzi wangu katika moja ya hotel zile za wenye nazo, nikamjulisha akaniuliza naweza kuja na rafiki yangu? Nikamuuliza yupi, maana kuna mmoja hata huwa...
1 Reactions
146 Replies
14K Views
ni kijana umri miaka 26.natafuta msichana alie arusha au moshi umri 18-23.tutafutane 0756 900931
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna jambo limenitokea maishani na sikutegemea. Nilimpata mdada wa Kihehe tukaanza safari ya maisha na tukapata mtoto wa kiume kwa sasa ana miezi kuna mmoja. Wiki kama tatu hizi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Leo week end hebu tuachane na Nkurunzinza na tuone mambo social. Pamoja na umasikini, ukwasi na hali mbaya ya uchumi wetu nimefuatilia muda mrefu na wanaume wengi hata waliooa wana michepukoz...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hebu tuzame kwenye mada yetu pale juu wapendwa wangu mwanamke jiwekeze, jisasambue na jiweke nadhifu kwa raha zako. Kwanini nimependa leo niseme kitu hichi hapa nimefuatilia kwa umakini sana...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau, Mimi najitokeza kutafuta kadada kadodo alafu kazuri, awe anaishi Dar es salaam napendelea zaidi awe level ya chuo kikuu, ani pm alie tayari, mimi age yng 29, yeye awe below 26
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hebu tujikumbushe jamani simu yako ya mkononi ilihatarisha vipi mahusiano yako au kuyaua kabisa. Simu hizi za mikononi zimekuwa na siri nyingi na wakati mwingine zimekuwa chanzo kikubwa cha kuua...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Nipo kwenye mizunguko yangu ya kila siku ya kutafuta pesa, napokea simu ya baba mzazi akiniomba msaada wa sh. 5,000,000 ( 5mil Tsh) ili aweze kusolve mambo yake ya kibiashara. Naona sio mbaya kwa...
4 Reactions
49 Replies
13K Views
Habari mwana forum mwenzangu wa MMU. Jana nimetumiwa wimbo wa diamond na Ney wa mitego wakibishana kuwa mapenzi ni ufundi na mwingine anasema pesa. Nikaamua kumtafuta swahiba wangu kumuuliza na...
1 Reactions
61 Replies
13K Views
Wadau, Mimi ni mfanyakazi lakini take home yangu haifiki hata laki tano, lakini nadrive na naish katika mjengo mzuri jana kuna msichana nilimpa lifti na nilipoenda kumshusha ni karibu na kwangu...
1 Reactions
78 Replies
7K Views
Amani, Upendo, na Mshikamano vitawale jamvini. "Matembezi ya Kindoa(Conjugal Visit)" imekua ni utaratibu wa kawaida wa magereza katika nchi nyingi zilizoendelea.Nchi kama Austaralia, Canada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Elimu na mafanikio ya kimaisha mwanaume akipata vitu hivyo viwili kabla ya kufanya chaguo la kuoa,anaweza kupata wakati mgumu kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwake. Wanawake wengi na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka girlfriend na tu chat naye nitafute kwa 0734013714
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Ewe kaka au dada kama haukuwa tayari kuachana na ubachela wako ulikimbilia kuoa au kuolewa ili nini? Huoni umekimbilia tu kumuumiza mwenzako? Angalia unavyoishi maisha ya kibachela kwenye ndoa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana bodi, Natumai mko poa ebwana hivi majuzi nilikuwa kazini sasa ule muda wa lunch tukawa tunapiga stori. Tulikuwa kundi la wanaume pekee na stori kubwa ilikuwa ni jinsi gani mwanaume...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari wadau. Huu ni kama muendelezo wa hadithi ya maisha yangu ya kimahusiano ambayo nimewahi kuleta hapa MMU miaka kadhaa iliyopita. Mimi si mtaalamu wa kuunganisha link ningeziunganisha hapa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ukitazama ndoa zisizo na baraka ya watoto utaumia tu! Wazazi huanza vizuri kwa ndoa taamu! Mara wakigundua mwaka au miaka miwili hakuna mtoto utaanza kuona dalili za ukichaa. Mara nyingi huanza na...
6 Reactions
20 Replies
7K Views
Habarini wadau Kuchepuka sii jambo zuri saaana especcially kama umeoa,ila tu kwa bahati mbaya huwa inatokea....shetani mbaya sana. ILA sasa Wanawake nao hawaeleweki katika haya:- -Ukichepuka kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…