Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanaBodi. Nichukue fursa hii kuwatakia maisha mema yenye mafanikio baba wote wanaowajibika katika nafasi zao. Jiulize umemshukuru kwa lipi baba yako mpaka hapo Ulipofika.
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari, Washika dau, Tushirikiane tafakakari hii, kwanini ni vigumu Mwanamke msomi labda ana Bachelor kuolewa na darasa la 7,tofauti na Mwanaume msomi labda ana degree anaweza kuoa class 7...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Unakuta ndo kwanza mmeanza mchezo umenoga, gia na kona zote zimeshachanganya ni moto moto tu, huku navuta kasi Style gani inafuata mara naitwa ''Jigo vipi bado hujamaliza tu?'' Machief swali hili...
0 Reactions
92 Replies
18K Views
Huyu jamaa aliamua kujitoa ufahamu kwa kukata kila kitu nusunusu ili agawane na mkewe aliyeishi nae miaka 12. Alifanya hivyo baada ya kuamriwa na mahakama kugawana kila kitu sawa. Hapa akiwa busy...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Jamani naomba ushauri kuhusu hili. Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto wanne. Hivi karibuni tumepata housegirl mpya kutoka Singida, amemaliza form four hakubahatika kuendelea na masomo kwa sababu...
6 Reactions
245 Replies
36K Views
Why men will always cheat on you This is probably the perfect case of a man marrying a Kim Kardashian and still cheating on her with a Jessica Alba. Has it ever crossed your mind why men will...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana ila tumezoeana sana kama marafiki tu zaidi miaka minne ananiheshimu sana nifanyaje ili niweze kumpata awe mke wangu? Naogopa anaweza...
0 Reactions
124 Replies
13K Views
Habarini wanajamvi, PART 1 Sio siri nkiangalia asilimia kubwa ya mahusiano yani wanaume ndo wanakuwa wananyonywa (wanachunwa) zaidi, like kwanini wanaume wawe ndo wao tu wa kutoa hela, kama wote...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Long time guys niliwamiss, but naamini mko poa Back to the topic, hapa ni kuomba ushauri, before my marriage nilikua na mpenzi na tulipendana sana but haikua bahati yake kuolewa na mimi na wife...
5 Reactions
114 Replies
16K Views
Hii imemtokea jamaa wangu wa karibu, walikuwa katika mahisiano takribani miaka miwili. Baadae ilikuja kugundulika mwanamke ni mchepukaji, anagawa penzi kwa vidume wengine. Muda siyo mrefu jamaa...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha na JF naona kama una mchumba au mke mzuri katika mambo mengine ispokuwa ukagundua kuwa ana chepuka solution siyo kumuacha. Maana hata ukipata mwingine...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pole kwa saumu kwa wale mliofunga! Nina ombi moja tu katika MWEZI huu wa RAMADHANI,akina dada,akina mama badilisheni mavazi yenu na mvae mavazi ya stara,maana waliofunga wengi wanakosa hata UHURU...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu mwanamke ana mpenzi wake na wamedumu mda mrefu sana. Kama 4 years tokea kipindi hicho alikuwa yupoyupo tu, alikuwa hana msaada wowote kwake ila kwa vile walipendana akamua...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wadau, Kuna mchumba wangu ambae niliona mienendo yake haifai nikaamua kumchunguza,sasa niliingia na gia ya kumtajia pasword yangu ya facebook ila email sikumwambia, nkamuuliza yako ni ipi...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Igweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!! Huku kwenye majengo ya makaisari kuna tabia ya wafanyakazi wa vitengo flani hata kama ni kajamba nani au mfagizi wa kile kitengo anajiona...
19 Reactions
112 Replies
11K Views
Wadau.... Marafiki walioko pande hizo mpooo?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Habari wana Jf, Mim ni mgeni humu lakini naamini maisha hutafutwa popote na mke hutafutwa popote ilimradi kila mtu amkubali mwenzake na kumheshimu na kumthamini katika hali yeyote ya kimaisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi huwa nawashangaa sana madada, Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara...
24 Reactions
119 Replies
17K Views
Habari, Wanawake mlioolewa waheshimuni waume zenu, sio urafiki wangu na mumeo ni ticket ya kuniachia nifanye mapenzi na wewe. Wameshafikisha watatu sasa mpaka naanza kuona kale ka msemo ka...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habarini wana JF nawasalimu kwa jina la MMU, Kwa wale wenzangu tuliotoka kwenye zile zama za mitongozo ya old school, unakuta unamtongoza mwanamke halafu anakwambia "nakuchukulia wewe kama mdogo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…