Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika toleo letu la jana, kulikuwa na ripoti maalum iliyoelezea kushamiri kwa biashara ya dawa zinazodaiwa kuwa ni za mapenzi zikiwamo za asili za kuongeza nguvu za kiume jijini Dar es Salaam na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Unakuta mtu zima anamwita mtoto mchumba ambaye hajui hayo mambo na hata umri haumruhusu, nikajiuliza nini mantiki ya hili? Mi nikiwa mzazi huo upuuzi utakwepa mishale aisee! Asante jigo
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Ni mwaka wa nne sasa toka nmeoa, lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao.Ttatizo kagundulika analo mke wangu hawezi kuzaa. Sasa wadau mimi natamani sana kuwa...
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Habari wakuu, Ningependa kuzungumza baadhi ya sababu zinazowafanya baadhi ya wanawake kukosa wachumba wakuwaoa, zifuatazo; 1) -Too selective kuna baadhi ya wanawake wanachagua sana wanaume,kila...
6 Reactions
80 Replies
14K Views
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri. Awali nilisita kufanya hivyo...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Nimeiona hii post kwa blog flani nikashindwa kujizuia kuiweka humu. Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua...
3 Reactions
91 Replies
22K Views
Habari ndugu zangu wa Jf, Hili ni jambo ambalo linanitatiza kidogo hivi kumsamehe mtu maana yake ni nini hasa? Na ukimsamehe mtu lile jambo alilokutenda ni lazima ulisahau? Na vipi umemsamehe...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
nimeachishwa kazi ghafla na sijalipwa chochote. pesa yangu ya akiba niliyoihifadhi katika simu imeibiwa na sasa nimeishtaki kampuni hiyo ya simu. nimerudi jana kutoka kazini nimekuta nyumba...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Ashakumu so matusi wakubwa, Jana nilikuwa na kichenchedu kimoja maeneo baada ya kunisumbua kwa muda mrefu Jana kimeeleweka.Sasa tulipoingia maeneo ya faragha na kwa kuwa ilikuwa mara ya...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kutokana na kuwa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume na wanawake wengi hawajabahatika kuolewa japo hata mara moja tangu wazaliwe na wanahitaji kuolewa ila wakuwaoa hakuna na huenda wakaondoka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaa yangu anaomba ushauri na nimeshindwa nimshauri nini nimeona niilete kwenu wana JF: NIMEMPATIA HUU: Firstly; Huyo bwana amjali mkewe na kumpatia haki yake ya ndoa kwa ukamilifu. Yeye ndiye...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jiepushe na makundi Umri wa kijana ndiyo pekee wenye changamoto nyingi sana katika uso wa dunia kama vile ; vishawaishi, tamaa, majaribu na mengineyo. Kama kijana unapaswa uchague watu wa kuwa nao...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Wasifu wangu; Mimi ni kijana wa miaka 25 Dini mkristo mwenyeji wa kaskazini mrefu maji ya kunde Kazi mfanya biashara 2: Wasifu wa mlengwa Awe na umri kuanzia 18 mpaka 24...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Nikiwa natokea Same mkoani Kilimanjaro shuleni ambako nilikua nasoma miaka miwili ya Advanced Level..tukiwa tumepata likizo ya wiki moja ya Midterm. Huwa sipendi kubaki shuleni hata kwa likizo...
7 Reactions
328 Replies
139K Views
Wana JF wasalaam, Kama kawaida leo nimeona niwaletee tiba mbadala kwa wale waliodhurika na magonjwa mbali mbali ambayo mme mke hayapendi kuyaona. Leo katika safu ya tiba, kuna tiba tatu ambazo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba niende moja kwa moja katika maada. Mdogo wangu tunae fuatana kuzaliwa ana miaka kazaa katika ndoa pia wamefanikiwa kupata mtoto mmoja, walijuana walipokutana semina...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Hivi mwanamke wa namna hii unaweza kumuweka kundi gani? Utakuta unamtambulisha leo kwa rafiki yako kisha anamzoea kama vile wamejuana primary school, mbele ya rafiki au wageni au mtu yeyote...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu mahusiano hapo juu na hata wewe housegirl houseboy unaesoma unajua hili sasa basi pengine ni uelewa wa wanandoa ndio unasababisha haya mambo 5 yanachangia; 1)...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi kwanini wanawake wengi pesa yao inakuwa chungu kutoa yaani ikitokea mwanaume ukamuomba mwanamke pesa yake lazima akunyime au akukopeshe wakati sisi tunawapa kiroho kisafi wakituomba...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
I am 3 months old in Mwanza. I am 26 years old working in Mwanza and i would like to meet a lady friend of any tribe, age and build. Am finding it quite lonely going to work and going back to the...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…