Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano. Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa...
0 Reactions
1 Replies
515 Views
1.Mahusiano yatakushinda kwa sababu hata kwenye makosa yako utamlaumu mwingine hivyo utaachwa kila mara na bado utajiona upo sahihi kuachwa 😊 2.Utaendelea kubaki na makosa yako na wengi...
6 Reactions
6 Replies
489 Views
Kumpenda mtu siyo upendo wa kweli — ni mvuto tu, na huo mvuto una masharti. Katika maisha ya mapenzi, watu wengi wanachanganya hisia za mvuto na upendo wa kweli. Kumpenda mtu siyo mara zote...
1 Reactions
2 Replies
577 Views
Ni wiki ya pili sasa naishi na mshkaji wangu X kwenye geto langu hapa Dsm kutokana na sababu zisizowahusu (Ninae nyumba mkoani, nipo hapa Dar kama mfanyabiashara X wa kupita tu) Jana usiku mida...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna msemo maarufu kuwa "binamu nyama ya hamu" ijapokuwa haijahalalishwa ila kuna matukio tu mengi ya watu kutembea na binamu zao au ndugu zao either kwa bahati mbaya au mazingira tu!! Binafsi...
44 Reactions
644 Replies
183K Views
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo: Kuhusiana...
27 Reactions
145 Replies
7K Views
1. She’ll Wear Sexy Clothes Around You When a girl clothes attractive, which means she is sexually to be had. She’ll wear horny garments because she needs a guy’s interest. Usually, while a lady...
0 Reactions
6 Replies
36K Views
Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga...
20 Reactions
103 Replies
4K Views
Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana...
2 Reactions
15 Replies
866 Views
Mwaka fulani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara...
216 Reactions
1K Replies
334K Views
1. Talaka: Ameibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe 2. Kubakwa: Alikuwa amevaa nini? 3. Ndoa bila watoto: Ni tasa/mgumba 4. Hazai mtoto wa kiume: Ni kosa lake, hakuna mtoto wa kiume...
6 Reactions
8 Replies
557 Views
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
18 Reactions
100 Replies
4K Views
Wakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣 Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila...
40 Reactions
772 Replies
70K Views
Weekend nzito hii sijawahi kuona. Hope wote mko poa na kwa wale wenye changamoto Mungu awafanyieni wepesi ... Ni hivi, ukiachana na Ndoa, Familia na starehe tunajua kila penzi watu mkikutana na...
20 Reactions
164 Replies
5K Views
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani . 1. Mwelewa 2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali . 3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia...
34 Reactions
220 Replies
8K Views
Katika kuangalia filamu mbalimbali za nchi za magharibi, nimegundua kwamba tatizo la kuombana ombana pesa kwenye mahusiano lipo hapa Tz tu, sidhani hata kama Kenya, Uganda au Rwanda wana haya...
16 Reactions
53 Replies
3K Views
Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku. Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya...
35 Reactions
93 Replies
6K Views
Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata ..... Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa...
5 Reactions
10 Replies
710 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…