Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana Jf, Imekuwa ni kawaida kusikia mwanaume akimikiki mwanamke zaidi ya mmoja iwe kihalali kama waislam au kiutamaduni au hata wakristu ana mmoja lakini anavipoozeo zaidi ya yule wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu aliniambiaga nimtafutie kazi, sasa juzi kuna kazi niliipata mshahara ni laki 7. Nikamfuata ili kumpa habari hii njema. Ila kabla sijamtajia mshahara nilimuuliza kama...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Yan nimepatwa na hasira sana maana kuna hiki kijitabia ambacho wanawake wengi wanacho hasa wale wanaofanya kazi kwenye taasisi za kiserikali. Unakuta mtu umeenda kufanya jambo kwenye ofisi ya...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Sina kazi na ninaishi kiujanja ujanja. Juzi usiku nilipata ajali nikitoka bar, gharama za matengenezo ni million 2. Kichwa kinanipasuka, sijui hata la kufanya.
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Natafuta mke mtanzania tuishi wote hapa USA. Umri wangu miaka 40 na yeye awe na miaka kuanzia 26 mpaka 35 Awe Muarabu au half cast, awe Muislam Serious please tuwasiliane PM
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba; 1. Anakupenda? 2. Anakujali? 3. Anakuzuga tu? 4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu? 5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi? Majibu...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka...
1 Reactions
70 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF, Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Habarini wanandugu woote wa humu ndani. Mara nyingi nimesikia maneno haya ya vinywani mwa watu kuwa ukimpata mwanamke mzuri lazima uwe roho juu na lazima uumie kichwa mara kwa mara. Na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
I'm looking for a girlfriend, 17- 20 years. Nicheki Pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAWAKE WANAVYOPELEKEA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME 1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke...
9 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari wadau, Kuna msichana nimeanzisha nae uhusiano takribani sasa tunaenda mwezi wanne kama si watano. Kiukweli huyu msichana ananivutia kwa kila alichonacho na barikiwa na Mungu ila tatizo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani mapenzi eti yanaua? Maana kuna jamaa kafa na pressure kisa mpenzi wake kamsaliti. Sasa huyu aliyebaki nae anataka kujiua maana familia zote zinamsema vibaya. Je nimshauri nini wadau...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mnaamini hiki kitu kama mimi? Kuwa ukikuta mwanamke kafanikiwa saana, its either aliolewa halafu akaachwa, au mume alifariki, ama hajawahi kuolewa kabisa, ama mali za mume wake. It's very rare...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Za majukumu wana JF, bila shaka mko wazima. Hii ndoto ya kumuota mchumba wangu amekuwa kichaa inanitesa sana, kwani mara nyingi huwa namuota akiokota makopo ndotoni. Msaada kwa mwenye kufahamu...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu Nina mchumba wangu, tumekua na mahusiano muda mrefu sana, sasa imefikia muda nimeona bora nimsogeze niishi nae kabisa, sasa tatizo mimi ni mpagani(sina dini) na huyu mwenzangu kwao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nipo serious, naomba uni pm tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana Jamii! Nina rafiki yangu wa kiume anampenzi wake wamedumu kwenye mahusiona miaka nne sasa! Baada ya kufika hiyo miaka rafiki yangu mfanyakazi na umri nao ukawa unamruhusu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza....... 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…