A child psychologist says the mouth is an erogenous zone and can confuse a child
A doctor has warned parents against kissing their children on the lips, arguing it is too sexual.
Many...
Bwana YESU asifiwe!
Aina ya kwanza ya ndoa ni:
1.Ndoa ya kutungua
> Hii ni ile ndoa ambapo watu wanakutana tu na kupendana na hapohapo wanaanza mahusiano kwenda guest. Huyu anasema "nimekuzimia"...
Habari zenu wakuu,
Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku...
Nina wake zangu wawili wa ndoa ya Kiislaam yapata miaka 3-4 sasa , Mke mdogo kwa takribani miezi 8 sasa amekuwa akinidai kuongeza mke mwingine ili wawe watatu , Mke huyu ana watoto wawili na...
Waheshimiwa,
Kuna huyu mchumba wangu ambae amehamia kwangu tunaishi pamoja sasa, tunatarajia mtoto pia kabla hajahamia kwangu nilikua naishi na msichana wa kazi nilietumiwa na mama yangu mwaka...
Jamani naomba ushauri wa kujenga tu!
STORI NI NDEFU KIDOGO TAFADHALI SOMA UPATE KUNISHAURI;
Kuna mdada mmoja alitokea kunipenda mpaka akanitamkia na kwa vile mimi sikuwa ktk mahusiano wakati huo...
Kuna hali huwa inawatokea wanawake wengi pale wanapokutana kitandani na mwanaume kwa mara ya kwanza.
Jambo la kwanza ni kushikwa na udadisi wa kutaka kujua maumbile ya mwanaume aliye mbele yake...
Mimi sipo katika ndoa ila nasikia sikia kwamba wanaume wenye wake zenu hampendi na mnajisikia vibaya (kichefuchefu) mkiwaona wanawashikashika watoto muwapo chumbani .
na muda huo ambao mama...
Napenda tuangalie kwa pamoja japo sikumbuki vizuri mfumo huu wa haki sawa kati ya mwanaume na mwanamke umeanza mwaka gani ila una zaidi ya miaka mitano plus. Nataka tuchambue kwa pamoja tuone kama...
Habarini za muda huu wana Jf,
Uzi huu unawahusu wadada wote,kuna biashara nzuri tu yenye msingi mdogo ila inalipa sana.
If interest pm me nitakujibu only for those in Dar es salaam.
Hizi ndoa zina changamoto nyingi. Nilimuo mke wangu mkubwa miaka minne iliyo pita mke wangu nilikua nampenda sana ila baadae alianza kubadilika na akawa na jeuri ya hali ya juu. Kielimu mimi...
Habari wana JF,
Kwa hakika yamenikuta mazito sana nahitaji ushauri wenukuna msichana nilimpenda sana kwa lengo la kumuowa akanitambulisha kwa mzazi wake wa kike mama hakuleta akaniambia kua...
Wakuu habari,
Mimi ni mvulana na nlikua na mpenzi ambae tulipendana sana,mambo yalibadilika baada ya rafiki ake kunifata na kunitaka kimapenzi,kwa bahati mbaya nilishindwa kujizuia na kufanya nae...
Hili jambo ni kuwatahadharisha wanawake ambao wapo ndani ya ndoa na kuwaonya wanaume wote walio ndani ya ndoa waache tabia ya huyu jamaa, pia kutaka ushauri wenu wana JF.
Kuna binti mmoja tuko...
Huwa najiuliza mara kwa mara ni kwanini wazazi huwa wabinafsi sana linapokuja kwenye swala la watoto wao wenyewe? Ninachomaanisha ni kwamba wazazi wengi huwalazimisha watoto wao kufanya mambo...
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo...
Habari wana JF,
Kusema kweli nimepitia changamoto nyingi za kimapenzi, huko nyuma nimesalitiwa sana na wanawake niliowapenda.Lakini sasa binafsi naona umuhimu wa kuoa na kujenga familia,lakini...
Wakuu habari ya ujenzi wa taifa,
Kwa kweli hadi leo sijui nini kilinipata hadi nikatembea na shemeji yangu mdogo wa mke wangu wa ukoo.Kama si yule binti kunirubuni nisingefikia hatua ya kufanya...