Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Chemistry ya wanawake inanishangaza sana. Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu. Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama...
33 Reactions
89 Replies
4K Views
Polisi kupitia Muliro imethibitisha kuwa mke wa Masanja hakuwa na mahusiano na Katibu wake, na ukifatilia tweets za Masanja utagundua alikua na hisia za mkewe alichepuka. Ndiyo maana utaona...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae...
36 Reactions
741 Replies
103K Views
Naomba ushauri wako, niko kwenye mahusiano huu mwaka wa nne na mwaka jana kaja kujitambulisha kwaajili ya ndoa nina mtoto mmoja, nimezaa na mume wa mtu ila huyu mwanaume anayetaka kunioa anajua...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Huwa nashangaa sana,unakuta mwanaume ananyonya matiti huku akisukumiza uume ndani ya k, je kuna umuhimu au faida gani ya kunyonya matiti? Cc Nomadix SweetyCandy Nusratt SECRETARY BIRD...
20 Reactions
164 Replies
9K Views
Vijana wa kiume wengi wanateseka sana, lakini nyie wabinti hamuwezi kujua kwasababu mnaangalia tu ni vipi atakujali na kukuhudumia. Wengi wanafikria vile atakupeleka out, akuvalishe, akupe...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru . Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya. Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe...
27 Reactions
226 Replies
8K Views
Tajiri hasalimii. Poleni na mihangaikoni ya mchana kutwa wakuu. KISA hiki hakihusiani na mapigano ya mitutu, lakini nimeyapitisha majina kadhaa kwenye ubongo wangu wakati nikifanya uchaguzi wa...
11 Reactions
273 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka...
32 Reactions
122 Replies
7K Views
Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kwenye idadi ya watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wapenzi tisa kwa mtu, Lindi watu nane na Dodoma watu...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
NAKEMEA UTEKAJI Mrembo kauteka moyo wangu, bila huruma Si kwa bastola, wala kwa pingu ila tabasamu lake. Alinipiga jicho moja tu, nikajikuta mahabusu, Nimefungwa kwa pendo kifungo kisicho na...
5 Reactions
11 Replies
671 Views
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua...
63 Reactions
544 Replies
16K Views
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo...
55 Reactions
174 Replies
10K Views
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane Huku kwangu kumejaa hakuna...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Husika na kichwa hapo juu. Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
5 Reactions
38 Replies
3K Views
"Tafiti zinasema kuwa hakuna mahusiano yoyote ya mwanamke kufika kileleni na ukubwa wa Uume wa Mwanaume. Kwasababu kinachomfanya Mwanamke kufika kileleni sio ukubwa wa Uume wa Mwanaume bali ni...
18 Reactions
78 Replies
5K Views
Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea. Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita...
19 Reactions
209 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…