Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda...
Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na...
Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha.
Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha.
Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi.
Sijawahi kumfahamu mwanamke...
Yakiwa yamebakia masaa machache huu mwaka 2023 tu u-dump kule. Ukweli lazima usemwe hapa kuhusu hawa mademu wa kaskazini wanaojiita pisi kali jambo ambalo sio la kweli na halitambuliki
Kama...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana?
Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo...
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje...
Habari za jioni.
Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa.
Niende kwenye mada.
Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini...
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden.
Akiwa amemaliza shahada ya...
Wasalaam wapendwa.
Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo.
Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa...
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo...
Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za.
Na nyie dada...
Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.
1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga...
Je wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23]
coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana
RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa...
Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake๐ ๐
Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili.
Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano...
Hata dada zetu walioko kwenye Jeshi la Polisi wanahitaji kupendwa, kudeka, kuolewa na kuanzisha familia kama wanawake wengine.
wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye...
Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati.
Mapenzi yakiisha hautarudishiwa...