Kuna dawa ya kuongeza maumbile kwa wanaume?

Kuna dawa ya kuongeza maumbile kwa wanaume?

Ukiwa mwanaume na ujiamini wala hujui mwanamke anataka nini nalo ni tatizo lingine!
Mwache tu aendelee kudanganywa na kutazama xvideo wakati wenzake wapo kazini!
Nadhan umemaliza kila kitu hapa mkuu asipo kuelewa bs
 
Hahaha unataka umtengeneze shemeji awe kama uliyemuona kwenye X video. Ila mtaka vingi kwapupa ukosa yoteeee usimfanye hanisi kabisa hata wahicho kibamia
 
Hizi dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume zinazotangazwa ni za kweli wakuu?
Kuna shida huku zinahitajika
Na je zina madhara makubwa?
Zipo ila chache sana.
Mfano kuna moja inaitwa "punda"

☆Ufanyaji kazi wake hutegemea sababu za maumbile kuwa madogo ( kama ni genetics itaongezeka kidogo tu, kama ni sababu za kujitakia eg. Nyeto inakuwa kwa kipimo kilichotajwa )

☆nyingine naijua tu kilugha chetu inaitwa "KINTOMPYOO"
inachimbwa porini aridhini kama muhogo au kiazi.

NB: madhara ya hii dawa ni kukosa uhuru wa kuvaa suruali za vitambaa.
 
Back
Top Bottom