Ilitokea siku moja kwenye mizunguko nikampa lift mtoto mmoja mzuri sana anaishi Ilala . basi baadaye ikawa kama ni mazoea asubuhi ananaiuliza nimefika wapi then ananisubiri nimpitie twende wote...
Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu.
Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa...
Ni kauli ambazo binafsi nimezisikia ' mubashara ' kabisa kutoka kwa akina Mama wa maeneo mbalimbali ya hapa Jijini Dar es Salaam ila mpaka sasa nimeshindwa kujua walipozitoa kwa Mabinti zao...
Kuna jirani yangu mmoja anaitwa baba kele, sasa jana tukiwa tunazungumza na wife mipango ya hapa napale, sehem alikokua ametembelea jion jion kuna nguo katka duka fulani alikua ameiona akaniomba...
.........wasaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaam..........
Slogani za wana ndani ya miezi pendwa na siku mujarabu yenye tukio bora miongoni mwake la Eid El Hadji kwa ndugu zangu waislamu Barakatul...
Habari za mwisho wa juma nyote,
Kama ada ya Kasie leo kuna mahali nilienda na pakanikumbusha tukio la miaka 25 nyuma.
Baada ya kumaliza kidato cha nne nikiwa nasubiria kuingia kidato cha tano...
Heshima yenu humu ndani wakuu,
Wanawake kwanini mnakuwa na roho mbaya hivyo?
Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?
Mtu ambaye...
Pole na shughuli za siku wakuu.
Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa. Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili, japo bado hakikuwa kimefanyika chochote...
Tarehe 1 hadi 10 ya kila mwezi Mapenzi / Mahusiano baina ya Wapendanao au Wanandoa huwa ni mazuri na ya Kiwango cha juu kabisa na hapa kila mara ' matabasamu ' huwa hayawaishi huku confidence zao...
Wakuu nimeumia sana tena sana baada ya kusoma michango na thread baadhi za huyu member mwenzetu alieanzisha nyuzi hii.
Mwanaume asiyejua mapenzi, mwanaume mzigo.
Kiukweli sikutegemea kama na...
Wanawake wenye sifa zifuatazo hutoa nyapu kiurahisi sana. Hawa wanaweza kukupa nyapu hata bila kuwatongoza, mfano unaweza kumtania au kumshika sehemu kama vile bahati mbaya ndio process ya kutoa...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa...
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....
SWALI: Kwani "mume wa mtu"...
Wana Jf,nilikuwa na demu ambaye nimedumu naye 4 2yrs hadi sasa na nimekuwa nikimjali na yeye akinijali. Huyu binti alivofika 2yr tu chuo nikaona mambo yanabadirika. Kuna muda nilikuwa nikimcall...
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina...
Kwa niaba ya Heaven Sent, wambeke nitumie fursa hii kutoa shukrani za dhati kwa support yenu mlioonyesha kwa msiba wa baba mzazi wa mwenzetu.
Imepatikana kiasi cha 350.000/=. Nimemtumia taslim...
Utasikia Dada zetu au Mademu fulani fulani wakisema Mimi napenda Mwanaume " Handsome boy " mara utamsikia mwingine akisema Mimi napenda Mwanaume " Good looking " na mwingine nae utamsikia akisema...
Habarini wandugu humu jukwaani,
Mimi ni mmoja wa wanaoishi kwa kutekeleza kanuni za wenye nyumba.
Ipo hivi; wiki iliyopita kahamia Dada anayetazamika hasa na kuteka akili. Sasa Jana nilitoa nguo...