Nimeumia sana: mke wangu kamsifia baba kele eti anamtunza vizuri mke wake.

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,189
3,684
Kuna jirani yangu mmoja anaitwa baba kele, sasa jana tukiwa tunazungumza na wife mipango ya hapa napale, sehem alikokua ametembelea jion jion kuna nguo katka duka fulani alikua ameiona akaniomba pesa ili akaichukue kwakua kwa mda huo skua na pesa nikamwambia apoe tu siku zijazo nitampatia pesa ataenda achukue maana nguo madukani haziishi

Kwa zarau na kunikosea heshima wife akanijibu, et mmewangu hujifunzi hata kwa wanaume wenzio? Unamwona mama kele anavyotunzwa na mmewake?,,,aah mimi nipe hela nikailipie hio nguo buana

Nilichukia sio siri nikajikuta nampa vibao sijawai kumpiga mke wangu ila kwahili nimeona anataka kuniletea zarau.

Imetumwa na Exalioth
Natumia app ya jamiiforums
 
Duh,wewe niflani nini!?mbona kama ujumbe nimeuelewa kiuhalisia.
 
et mmewangu hujifunzi hata kwa wanaume wenzio? Unamwona mama kele anavyotunzwa na mmewake?,,,aah mimi nipe hela nikailipie hio nguo buana
Hapo ndipouwezo wake wa kufikiri ulipofikia, ulipaswa kumsikiliza na kutumia busara zako kumfanye awe na fikra chanya na kuacha kuangalia wengine wanaishi vipi.
Nilichukia sio siri nikajikuta nampa vibao sijawai kumpiga mke wangu ila kwahili nimeona anataka kuniletea zarau.
Kosa kubwa sana hili, unampiga kwa sabbu zipi?, Je umeshindwa kuishi kwa akili na mke wako?
 
Back
Top Bottom