Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili...
8 Reactions
102 Replies
3K Views
Mambo ya Dom na ndoa za watu....Majuzi nilikuwa nagegeda demu wangu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu amehamia huku Dom kama mimi...Sasa wakati tupo katikati ya tendo mmewe alikuwa ana piga simu...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari, Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake...
6 Reactions
194 Replies
30K Views
Wakuu leo sina maneno mengi ila baharia wenu nawaambia kitu kimoja asiwadanganye mtu bikra bado zipo cha muhimu changa karata zako vyema, Niko hapa lodge flani hivi maeneo ya lumuli karibu...
7 Reactions
90 Replies
10K Views
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa Kuwaumba Wanawake Wanene na tunakuomba uzidi Kuwaumba wengi zaidi kwani wanajua Kuhonga, wana Roho nzuri, Wakarimu sana, wana Huruma halafu siyo Wachoyo na wana...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Kweli mapenzi yananguvu. Huyu binti nimejuana nae kama miezi mitano iliyopita. Tumeahidiana kuoana na anawivu sana kwakweli. Sasa ishu ilikuwa hivi alipiga simu akaona haipatikani, akatuma sms...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Kuna jamaa mmoja mkata mbao alitoa Kali ya mwaka siku ya tarehe 10-10-2019. ILIKUWA HIVI. Kuna jamaa mmoja ni mkazi wa Morogoro Kihonda ambaye anashughulika na kazi ya ukataji wa mbao polini...
5 Reactions
29 Replies
7K Views
Helo wana JF, Hello wana NRNE Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION *** Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Hata wiki bado,mzigo wenyewe sijala,leo kanipiga mzinga wa 30,000 Cha ajabu amenitumia Lipa namba hapo nikajiuliza nalipia huduma ipi sasa. Nilitaka kumtumia hiyo hela ila kitendo cha kunitumia...
4 Reactions
12 Replies
670 Views
Habari wazee wakubwa shikamooni pia poleni na majukumu, Miezi kama minne iliyopita hapa mtaani kwetu kuna demu mmoja mzuri tu alimtumaga mtoto aje kwangu anipe karatasi imeandikwa namba yake ila...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari za uzima wana jf, natumai mu wazima wa afya japo changamoto haziepukiki.Niingie moja kwa moja kunako maada, tatizo langu ni kuhusu kujiamini mbele ya watu hasa wanawake na mabinti, nionapo...
3 Reactions
121 Replies
17K Views
nazingatia sana afya yangu kabla sijaanza kupiga puchu lazima nivae kondomu na kunywa maji mengi.
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Na pia mahari hutolewa na Baba nasio kijana muoaji. Hivyo Baba huwa na jukumu la kumtafutia mke kijana wake na pia huwa anajukumu la kumlipia mahari. Hii ndio mila yetu sisi Wamanyema. Ni...
0 Reactions
4 Replies
446 Views
Habari zenu wakubwa? Ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
NrNe Wakuu tukiwa tunamalizia hii weekend naomba mnifikishie salamu Kwa watoto au wanafunzi wa vyuo,. Maana naona Sasa kama mambo yanakuwa mabaya Kila unakopita ni vifo tu., 1.Ni hivi. Kama...
15 Reactions
48 Replies
2K Views
1. Mchungaji wake 2. Tajiri 3. Mwalimu wa mazoezi 4. Rafiki yake wa kiume 5. Daktari wa familia Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani. https://youtu.be/mukEPwaGAOo
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako ...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Oi niaje , demu wangu Jana alinitumia message anaomba buku tatu ya bando nikamkaushia , Leo namwita magetoni ananitumia message ikisema ; "no lifom, no erection", nahitaji ushauri
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Wapendwa nawasalimu. Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa...
22 Reactions
412 Replies
22K Views
Amekuomba urafiki facebook. Umeangalia picha zake Anaendesha Range Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo Umemkubalia urafiki Amekutumia text inbox Umemjibu Amekuomba out Mkapanga kuonana Ukajikwatua...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…