Salaam zetu, habari hizi zinanisikitisha kidogo ,kijana mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu , amekuja kuniomba ushauri Na maelezo yake yako hivi
"Miezi kadhaa iliopita nilikutana Na msichana...
Habari wakuu natumaini wazuma wa afya...nikijikita kwa mada yangu ambayo msaada wangu mkubwa nitaipata kwa hii jinsia yetu pendwa nimekuwa nikipata shida sana ya kuelewa mambo yafuatayo kwa...
Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi".
Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye...
habari zenu wadada
kuna siku nilizungumzia habari ya vitambi kwa wanaume but wanaume nao wamekuja inbox kuwa hata sisi wanawake tunavitambi, tuwekane chini na sisi tuondoe vitambi tena kwa...
1. Mwanaume anahitaji mwanamke anaye muheshimu na kumnyenyekea.
2. Mwanaume anamuogopa na kumkwepa mwanamke asiye na heshima.
3. Dawa ya kumshika mwanaume na kummiliki ni kumuheshimu na...
Saikolojia na maisha ,Badili mtazamo!
Habari ndg wana JF!
Naomba leo tuangalie kwa nini watu wengi tunafanya makosa na hali ya kuwa pengine tuafahamu fika kwamba haya ni makosa na wengine...
Habari wandugu,
Hivi sijui ni Mimi ndo nimeona au nanyi mmeshaona hili. Kuna tabia za habari za huku JF watu kuomba ushauri kuhusu jambo lake hasa la kimahusiano ya kimapenzi, halafu baada ya...
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya...
Hebu tujuzane wale wanawake ama kina Dada.
Pale unapogundua mdogo wako wa kike anatembea kimapenzi na mpenzi au mume wako huwa unajiskia vipi, unajifunza nini?
Je hatua gani huwa unaweza...
Wapendwa mu wazima wote? napenda kuadhimisha miaka yangu 3 ya u-single baada ya x wangu nimpendaye kinoumah kaniacha, nikitumaini ipo siku nitampata mmoja mzuri zaidi ya yule wa mwanzo.
Pia...
Wakuu,
Nipo kwenye ndoa huu mwaka 3, natafuta mtoto sipati. Baada ya mke wangu kukosa hedhi huu mwezi nimeamua kununua kipima mimba,nimechanganyikiwa kuona mstari mmoja. Sipendi michepuko lakini...
Bado najiuliza hivi ni kwanini wanawake hamuwezi kutunziana siri ?..Urafiki wenu ni wa mashaka sana yani hamnaga kifua cha kutunziana mabaya na mazuri ya rafik zenu..why?
Binafsi nimeshuudia pale...
Kipindi nasoma sekondari tulikuwa na kijimsemo kuwa TIME IS MAKANGABILITY tukimanisha muda haupo upande wetu yaani tumechelewa.
Naomba nitoe onyo kwa akina dada hasa wasomi ambao ndiyo huwa...
Shangee,
Jamani kina baba nakuusieni wakati mnapotafuta wenza wa kuwaoa uzuri usiwe kigezo cha kuona kua mwanamke huyo atakupa faraja.
Wanawake wote ni pasua kichwa ukimchagua kwa uzuri wake...
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.
Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka...
Ntaanza na mie mleta mada,wapo wengi walofanikiwa kunisomesha namba tena zile za kirumi,but wachache niwakumbukao ni hawa.
1.Alice
2.Anna
3.Irene
4.Sandra
Na nyie wakuu tajeni hapa majina ya...