Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu.
Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa...
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke...
Ushauri unahitajika.
Kuna jamaa yangu aliwahi kuzaa anabinti mwezi wa 9 mwaka huu anafikisha miaka 18 huyo binti alimaliza form 4 mwaka 2024. Hakufaulu yupo nyumbani.
Sasa juzi kuna jamaa...
Hello wanaJamiiforums.
Najua wengi wetu tumeanza mapenzi toka tukiwa na umri wa kubalehe.
Je paka leo katika maisha yako ya mapenzi, fantasy zako ni zipi?
Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na...
Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na...
Collins Kibet Moi, grandson of the late President Daniel Arap Moi, broke down emotionally in a Nakuru court after being sentenced to two weeks in jail for failing to pay child support.
The case...
Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!.
Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa...
Nilimpenda binti mmoja na nikamwomba urafiki.Alikubali na tukaanza kuwa karibu sana.Nilishindwa kujizuia nilimshawishi tukale tunda.
Siku hiyo nakumbuka nilimchezea vizuri michezo iliyomfanya...
Hivi NI ushamba au wanaume wanaiga au NI fashion?
Sikuhizi Kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye WOWOWO au mwenye chura au aliyejaa Mavi au alijaaliwa Maji Taka
NI kwamba mnataka wale wembamba...
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie...
Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?
Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex
Mf; sex na other race...
Mnawezaje kuishi na mwenza usiye na hisia naye?
Maisha yakoje au yanakuwaje?
Namaanisha ulioa tu au uliolewa tu pasipo sababu ya upendo.mnaishijeishije?
Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe mkweli na...
Hili ni swali zito na lenye uchungu, ambalo wanaume wengi wamewahi kujiuliza baada ya kuupenda kwa dhati na kuumizwa vibaya. Hebu tulichambue kwa uhalisia na kwa undani.
Kwanza, swali hili si...
Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili .
Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili...
Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba
Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu
Hivi karibuni nimegundua kuna...
Hello,
Kuna ile situation unajikuta tu tayari kishaumana na mtu ambae hukumhisia kuwa na tabia za kikubwa may be kutokana na cheo/wadhifa ama umri alionao [emoji4][emoji4] Yaani ambaye ulidhani...