Wakuu amani iwe kwenu,
Kwa muktasari tu ni kwamba mimi na mke wangu tulikua na ugomvi kufikia hatua ya kutengana kwa karibu 2 month, hii ilitokana na wife kutojali familia na kushinda kanisani...
Wanajukwaa heri ya mwaka mpya,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kipindi niliwahi kuandika jinsi nilivyoumizwa kimapenzi, nashukuru kwa ushauri mzuri wa wataalum wa saikolojia wa JF maana...
Asililimia kubwa ya wadada tunapenda kupendeza hasa unapotoka na Mr .wako Mara nyingi mwanamke anajisikia yupo na ulinzi wa hali ya juu.
Sasa we jamaa umetoka na girl wako kajivalia zake kimini...
Kuna mwanaume mmoja amekua anamdate rafiki yangu na maneno mabaya kibao amekua akimwambia kuhusu mke wake. Sasa kumbe walivyo kua wanachat na simu zote alikua anamrecord huyo bwana.
Mke wa jamaa...
Ni jambo ambalo watu hulisema bila kujua maana yake. Unaweza kukuta mtu akisema Ndio maana amekondeana, ana roho mbaya sana Ukimuuliza ni kwa nini anahusisha kukondeana au afya mbaya na roho...
Baada ya wadada wengi walio visiwani zanzibar ku zima simu zao mara waliposikia nimetia nanga na wengine ku log off JF toka siku niliyosema nimeingia zanzibar. nilijikuta naishi maisha ya...
Wanajukwaa
Statement hii nimeifikiria sana na naiona kama yenye ukweli ndani yake. Napata Shida na kuona kuwa ifike mahala liwe somo kwa wasichana wasichezee muda wao.
Hii kauli ya kuoa...
Habari wana MMU.
Mwanaume akupendaye huwa hana haraka ya kufanya ngono, hufuata taratibu zote ili mradi kujenga uaminifu moyoni mwako.
Hii hutokana na kuwa na uhakika wewe ni wake, hana hofu...
Imefika wakati jamii ya watanzania ijitathimini, moja ya vitu vinavyowaumiza vijana wengi vichwa ni mahari zinazotamkwa na wazazi wa mabinti.
Inafikia hatua wazazi wa binti wanataka mahali...
Niaje wadau
Kwa jinsi navyowapenda sitaki kuwapoteza
Mchezo up hivi... Nipashe ya Leo imeandika wavaa vimini Dar na wanyoa viduku wote jelaa kuanzia tar 17 Jan 2018 jijini Dar
Sa sijui...
Heshima kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka nyumbani kwao kwenda kupanga chumba,je hili...
Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni...
1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo.
2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi.
3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa.
4. Hajali matatizo yako...
Tunaishi kwenye ulimwengu unaoenda kasi sana kiasi kwamba usipokuwa makini, unaweza kujikuta ukimpoteza mtu uliyempenda sana maishani kwa sababu tu ya kutojua namna ya kwenda naye sawa...
Habari zenu watanzania popote pale mlipo,
Leo naandika hii mada kwa uchungu juu ya kupotea njia kwa wanawake wetu.
Mimi hua sielewi hata kidogo namna wanawake wanavyovaa ani sielewi, hadi...
Aisee kweli mvumilivu hula mbivu/mtafutaji hachoki..... Siamini Mimi Leo NIMETOA BIKRA,dah kweli tarehe hii ya kumbukumbu..
Yaani toka nimeanza zijua papuchi sikuwahi bahatika hata siku moja pata...
Niliupenda sana huu msemo.
Hivi,kina dada,wenye kujiona wao ndo wao,ina maana hawaoni wanapoteza mda wao bure?! Kuna mdada kamtukana rafiki yangu,imenipain sana. Huyu ndugu,ana mahusiano na dada...
Habari zenu wana janvi,
Imebidi uzi huu niwashirikishe maana ni kitu ambacho hata mimi kimeniuma sana baada ya kutokea. Sisi ni binadamu na huruma mwenyezi Mungu alituwekea katika nafsi zetu...
Habari?
Kuna msemo ambao Kiukweli wanaume wanapenda kusema kuwa amekutana na mwanamke gogo kitandani wakati wa kusex sjajua huyo mwanamke anakuwaje gogo hazungushi kiuno au ?
Lakin ukweli kuna...