Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa...
Habari wakuu,
Ngoja nianze kwa kusema tuwe sana makini kwenye starehe au furaha za muda mfupi.
Okay Dj piga biti ni tembee na bit, Juzi kati nimetika Town (k.koo) kwenye mishe zangu za hapa na...
Habari zenu wana JF.
Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.
Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo...
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote...
Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura...
Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.
Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta...
habari wadau.
nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu.
kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake...
Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema.
Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada.....
Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana...
Mwanamke Kama mwanamke uliyeolewa na mwanaume wako akakuheshimisha tulia visasi havisaidii badala yake vinabomoa
Angalia hapa: Mwanamke unaamua kulipa kisasi kwa mumeo kwa kucheat kwa sababu na...
1.Kunyimwa tendo la ndoa.
2.Kauli mbaya kutoka kwa mke ,
3.Dharau kutoka kwa mke ;
4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi.
4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine.
5.Mwanamke...
Wakuu,
Kijiwen nnakopata riziki kwa mbele kdg kuna kijiwe Cha bao na draft huwa wanapaki bodaboda, Nikiwa Sina kazi huwa napenda kukaa pale Kupiga story na kubadilishana mawazo na vijana.
Kuna...
Ndugu salam
Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo
Nayasema haya...
Habari wana JF! mimi si member mpya katika kijiwe chetu pendwa ila nimeweka ID mpya sababu ya kulinda kujulikana ni nani maana wengi wananifahamu ID yng humu JF.
Jamani wakuu naombeni msaada...
Vidume wenzangu eeehh, wake/ wapenzi wetu ni mapambo yetu, ndio maana wanatumia gharama nyingi nyingi kujieremba ili watuvutie sisi.
Sasa kwa sisi ambao tuna wake/wapenzi ni jukumu letu...
Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani.
Na katika experience yangu niliowaona...
Salaam,
Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena.
Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?
Ni...
Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la...
Habari wakuu,
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.
Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.
Wanaume wengine hukutana na msichana...
Mtu anayejitambua huwa hawi na marafiki walewale muda mrefu ni nadra
Marafiki huja na kuondoka kutokana na hali iliyopo kipi mnashirikisha
Rafiki akija shukuru na akiamua kuondoka shukuru
Watu...