Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawasilisha kichwa cha habari kama kinavyojieleza, Mimi ni mwanamke nimeolewa. Kilichonifanya kuleta uzi ni kwamba huyo mwanaume anatabia ya kuniambia kuwa ataniua pale tunapokua tumekosana...
3 Reactions
87 Replies
8K Views
Wana JF, Namna nzuri ya kutambua neema uliyonayo na pale inapokutoka!!! Tumezoea hapa bongo kusikia nyumba, shamba, gari, baiskeli inakodishwa gharama fulani kwa siku, mwezi, nusu mwaka au hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumai lunch ilikuwa tamu sana wana jf. Unapotaka kumpunguza unene mkeo au mchumba waweza mshauri taratibu za kufuata ikishindikana zote Fanya hivi: -Chagua active laxative inayofaa isiyo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, wakuu niko kwenye njia panda huyu mwanamke ninayeishi nae simuelewi ni mtu wa kulalamika sana, pesa za matumizi huwa namuachia za kutosha za mwezi mzima lakini amekuwa mlalamishi. Mpaka...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana JF, Polyandry ni desturi ya mwanamke mmoja kuwa na waume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Na hususani waume hawa wawe wakijuana. Hapa chini ni documentary ya CNN maeneo ya Asia India...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nimekua kwenye mahusiano tangu mwaka 2014 na binti mmoja na nikabahatika kupata mtoto wa kiume 2015 mwishoni. Alipata kazi mkoani mbali na ninapokaa. Tatizo kubwa kati yetu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
1~Usiache muda mrefu upite kutatua tatizo uliloligundua yaani usilale umwakwazika kama unaweza kusuluhisha jambo. 2~Tatua jambo kwa busara kubwa bila kumshushia mwenzio heshima kwa kumdharau au...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu ni binamu yangu ambaye tayari ameoa na ana familia, Sasa juzi alikuwa ananisimulia kuwa mzazi mwenzie ambaye alizaa naye mtoto mmoja (kike miaka 6) ambaye ndio alikuwa wa "ujana" wake...
14 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Poleni kwa michapo ya Mnyeti.Mnyeti huenda haijui gharama ya ubaguzi. Narudi kwenye mada, Kuna dada yangu mmoja mtoto wa mama yangu mdogo. Ni mwalimu wa high school. Sasa...
2 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Naona tusichoshane niingie kwanza kwenye maada, wakuu yaani kusema kweli hapa nadhani hili litakuwa tatizo maana naona its too much. Yaani kando na kusifika kwa kugegeda...
5 Reactions
90 Replies
11K Views
...naikumbuka sana 2010. Nilirudi Dar nikitokea Bomang'ombe kuja kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo. Nilifikia Changanyikeni (sikukirudisha chumba changu baada ya kumaliza chuo). Nikiwa kwenye...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
siku nyingi nilikua sijatembelea 'engo' hizi leo nimeingia kabla sijasoma chochote naona kama nyuzi saba za wanawake wanaotafuta waume, najiuliza siku hizi wanaume hatuoi au wanawake wamekua wengi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam kwanza; Hii ni special both men/women, Kuna wakati tunatakiwa kuheshimu hisia za mtu hasa akupendae.. Kuna manzi nilimtongoza akachomoa kama mara tatu, kwa kuwa huwa sina tabia ya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Daa hii siku kwani inaadhimishwaje mama B kanijia juu eti kwa nini sijampost instagram au fb kuwa yeye ndo my valentine day akaenda mbali na kusema eti mimi nina wengi na ndiyo maana sikufanya...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Hili ni jina ninalopenda kumuita mamdogo wenu na mara ya kwanza hakuwa analipenda lakini badae bila kumuita hua analeta story za nani kaanza rithi jina lake!. She likes it very much as i can see...
1 Reactions
0 Replies
914 Views
*If sex would sound like guns, Today nyt u might think its 3rd world war*
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwanini Madaktari wengi wa Kiume wa Magonjwa ya akina Mama ( Male Gynecologists ) huwa hawapendi Kuoa halafu siyo Vivuruge / Malaya na hata wakija Kuoa na kuwa na Familia huwa ni Waume bora...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
lile bint kwanza mpaka mda huu halipo hapa,asubuh nilimwambia leo nkiondoka sirud naenda nyumban kwa wazaz wameniita ntarud keshokutwa,hyo ilikua gia ya kumfukuza kwangu. Sasa jana usiku kwanza...
11 Reactions
90 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…