Siku nilipoitupa milions miles 'romantic' Valentine, Jifunze!

Siku nilipoitupa milions miles 'romantic' Valentine, Jifunze!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
...naikumbuka sana 2010. Nilirudi Dar nikitokea Bomang'ombe kuja kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo. Nilifikia Changanyikeni (sikukirudisha chumba changu baada ya kumaliza chuo). Nikiwa kwenye harakati za kutembea na bahasha, nilikutana na mdada mrembo Posta naye akitembeza bahasha. Yes, I fallen in love in first sight. Nilimtokea na baada ya wiki alinikubalia. Tuliamua ahamie kwangu kabisa as alikokuwa akiishi antie alikuwa mkorofi na mchoyo. We enjoyed tukiwa kwangu japo tuliishi cheap sana. God bless my mom, biashara yake ya maparachichi ilimfanya aendelee kunitumia pesa wakati nasaka kazi Dar na tukaitumia sote!

...tukiwa tumechoka na kusaka fursa mwenzangu alipata kazi ya uhasibu wizara fulani. Nakumbuka she was smart kwa kichwa na alikuwa na GPA ya 3.9, while mie nilikuwa na 3.6. Siku anaanza kazi ndipo na matatizo yalianzia pale. Nakumbuka ilikuwa Feb. 14.2011, siku ya Valentine. Alibadili namba ya simu na baada ya kumtafuta kwa bidii niliambulia meseji za matusi!!!

Wakati nipo katika uchungu mkuu huku nikiviangalia vitu vyake alivyoviacha chumbani kwangu majira ya saa 5 usiku, iliingia meseji ikisema, "HEPI VALENTAIN MWANANGU" Yes, it was from my mom. Pamoja na kiingereza kibovu alichotumia nilisika moyo riiiiipu! Mara nikahisi ubaridi wenye raha ya amani! Picha ya namna mama alivyojitoa kwa biashara za matunda nikasoma na bado alinitumia pesa nikiwa ktk matatizo ya kukosa ajira ilipita kichwani mwangu! Nikatamka kwa sauti, "This is real love" nilipata nguvu na kufurahi sanaaaa nikalia kwa furaha!!!

Kuanzia siku hiyo ninaitumia siku hii kuwapa upendo wenye uchungu na wahitaji. Siitumii in romantic way!!!

Nawe uliyesoma nikutakie heri na baraka! Katika mahusiano yako kumbuka "Real love comes from our parents no matter what situation they are!!!

Best of luck!
 
Manzi unamtokea within a week anakukubali mnakaa kidogo amekuacha unalia we kuwa serious ina maana ukugundua kuwa alikuwa kajishikiza tu kwako Kwa muda na unapendaje kindezi hivyo juu juu tu..
 
Hahahahaa kibuti siku ya valentine daah pole sana Mshanajr kaka naendelea kuamini ile issue ya lilith
 
Nakumbuka ilikuwa Feb. 14.2011, siku ya Valentine. Alibadili namba ya simu na baada ya kumtafuta kwa bidii niliambulia meseji za matusi!!!
Pole sana Mpwa, Hakuna thamani kubwa zaidi ya Faraja ya Mama, Mimi nilishamzika Mama yangu mwaka jana, kwa mara nyingine nililia saaana na to be true sijawahi ku-recover hadi leo. Mpende sana sana huyo Mama wa watu, mpende sana siku ambayo hatakuepo utashangaa.

Ok, Back to the main topic, kwanini uliumia wakati ulikula "Mzigo" free of charge for almosta year?? Maisha ni zaidi ya hayo, ukifanya cost-benefit analysis utajikuta ulikula faida tupu
 
Pole sana Mpwa, Hakuna thamani kubwa zaidi ya Faraja ya Mama, Mimi nilishamzika Mama yangu mwaka jana, kwa mara nyingine nililia saaana na to be true sijawahi ku-recover hadi leo. Mpende sana sana huyo Mama wa watu, mpende sana siku ambayo hatakuepo utashangaa.

Ok, Back to the main topic, kwanini uliumia wakati ulikula "Mzigo" free of charge for almosta year?? Maisha ni zaidi ya hayo, ukifanya cost-benefit analysis utajikuta ulikula faida tupu
Am so sorry for your loss. mimi nilimpoteza baba miaka mingi iliyopita. ilinichukua muda mrefu sana ku-recover. mpaka leo hii, haiwezi pita siku hata 2 bila kumkumbuka. Aliondoka wakati nilipokuwa namhitaji zaidi. All in all, ni mipango ya Mungu.
 
Back
Top Bottom