Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Wakuu kwema?
Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing...
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika...
Bob Marley anakuambia ya kwamba
"If she's amazing. She won't be easy
If she's easy, she won't be amazing
If she worth it, you won't give up
If you give up, you're not worthy.. Truth is
Everybody...
Tunapolifanya tendo hili na wake zangu,ni tendo la furaha kubwa na hadhi ya juu sana:
1.Kila mmoja wetu huwa na shauku la kulifanya na kila mmoja anataka kujua mwenzie atakuja kujaje,staili gani...
Nadhani mnakumbuka niliwaleteaga huu uzi kuhusu namna ambavyo nilifumaniwaga na mwanamke wangu kigamboni na aliyenichoma ni mke wa Mwarabu Binti wa kirangi na yeye kuna siku akaingiza mwanaume...
Hili suala kusema ukweli linatokea si kwangu tu bali karibia kwa kila mwanamke analalamika "KUTOKOJOZWA"
Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini...
Wakulu
Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo..
Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda...
Hapa ñaona kama anadhalilishwa tuu, halafu wanawake wengi wazuri ndio wanakua hawana akili sijui shida nini.
Na hii tabia yenu ya kupenda kutoa jicho sijui mmeipata wapi aise
Inasikitisha Sana...
Wakuu
Hii stuation ya kumwaga bao la kwanza baada ya tako mbili ni udhaifu wala si kawaida!
Ni kheri usisimamishe uanze tiba haraka kuliko tako mbili chali alafu unajipiga kifua eti na wewe ni...
Habari za mchana.
Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa.
Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu.
Au kama ni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yapita miaka miwili niko kwenye ndoa na mke wangu lakin bado hatujabahatika kupata mtoto
licha ya mke wangu...
Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye...
Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.
Mimi ni fundi furniture...
Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako...
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila...
NDOA YA KISASI:
NDOA YA KISASI
Sehemu ya 1:
Saa tatu usiku. Usiku mmoja wa kuvutia!
Baada ya kunywa pombe kupita kiasi kwenye karamu yake na marafiki usiku, mchumba wa Emmy alimchukua na...