Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuuu habari za weekend. Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa. Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Maambukizi haya yanaweza kuathiri shingo ya kizazi, mji wa mimba (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes), na ovari, na ikiwa hayajatibiwa kwa wakati, yanaweza kusababisha madhara makubwa kama...
8 Reactions
20 Replies
900 Views
NATAFUTA BINTI WA KUOA. Email yangu natafutamke872@gmail.com Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi Urefu: 158 cm Umri: 30 Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha...
13 Reactions
267 Replies
9K Views
Helo guys. Moja kwa moja kwenye mada Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha. Huyu kaka anaishi na...
12 Reactions
59 Replies
7K Views
Wakuu, Wanawake aina yenu niwape maua yenu,mna utamu wa kipekee. Si kwa miguno,mihemo hiyo mnatisha.hasa umlaze kifo cha mende kisha mguu mmoja uubebe mabegani utamaliza bao tano bila kutoa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo nimeshangaaa hiii Dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatokoka Twangoma mimi niko Kigamboni kweli bana mchan niko...
4 Reactions
67 Replies
3K Views
Daktari wa upasuaji wa New York, Dk Richard Batista aliushangaza umma alipomtaka mkewe aliyeachana naye amrudishie figo aliyokuwa amemchangia au amlipe fidia ya dola milioni 1.5 ambayo ni sawa na...
3 Reactions
7 Replies
608 Views
wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo...
31 Reactions
263 Replies
9K Views
Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani...
0 Reactions
4 Replies
382 Views
Kwenye dini ya kiislamu ndoa ni suna siyo lazima ila ni ile sunna ambayo imekokotezwa kwa maana ni suna ambayo inakaribia kwenye faradhi hivyo hivyo kwenye dini nyingine yawezekana akawa ni muhimu...
4 Reactions
16 Replies
691 Views
Wakuu haya mambo yamekithiri sana, hii tuitaje Jamaa anamnyanyasa mke wake, mwanamke anaishi kama yupo jela na kila akiitaka kurudi nyumbani mama yake anamzuia asiachane na mshikaji Mama...
7 Reactions
102 Replies
6K Views
Kuna Jamaa kutokea Arusha(mid 30's) amepata mchumba kutoka Mwanza(pia mid 30's) na wamependana kweli ila tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana( Mkristo Mkatoliki) na mwanamke ingawa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu...
25 Reactions
126 Replies
7K Views
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni...
25 Reactions
76 Replies
3K Views
Naomba kupata mawazo yenu... Najua kuwa kitendo cha kufika kileleni ndo uzazi wenyew coz kwa mwanaume anamwaga sperms ndani ya uke. Sina uhakika kwa mwanamke nae anafika kilele anamwaga kitu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanawake kwa kulalamika ni hatari na nusu unaweza kujishitukia unaomba msamaha wewe wkt kakosea yeye asee ○ Ukimkosoa kidogo tu kesi zote za nyuma ulizowahi kfanya zinaanza upya tena, apo lzm uomb...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana. Na sherehe inafana...
12 Reactions
1K Replies
30K Views
Heshima kwenu wakuu, Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae. Hii itasaidia kuamsha...
6 Reactions
83 Replies
809K Views
Watu uliofanya nao uzinzi, nafsi zao hubakia ndani yako kwa kazi maalum. Soma hii: Ili kututesa. Kuja katika ndoto, na kushiriki uzinzi na sisi. Kutuzuia tusioe au kuolewa. Kutuvurugia amani na...
2 Reactions
9 Replies
869 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…