Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ngono kama Silaha Katika maisha ya kila siku, ngono imekuwa si tu njia ya kuonyesha mapenzi, bali pia chombo chenye nguvu cha ushawishi na udhibiti katika mahusiano. Tendo hili linaunganisha watu...
1 Reactions
3 Replies
664 Views
Jana nimekutana na uyo mwanaume kwenye mishe za mjini, nikapenda the way he is , kwa bahati Nzuri akaniuliza my name na akaomba na my number. Sasa cha kushangaza mpaka saa hizi hajanitafuta Shida...
36 Reactions
209 Replies
7K Views
Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe. Mambo vipi wakurungwa. Mie ni mkristo nina miaka 35 sasa nina miaka 7 iliyopita kwa ndoa ya kikristo, baada ya miaka mitatu tukashindwana na mke wangu na kila...
14 Reactions
124 Replies
5K Views
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha...
13 Reactions
171 Replies
6K Views
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii. Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema. Nina mke ambaye muda wote kisirani. Ananuna nuna muda wote. Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake...
16 Reactions
74 Replies
3K Views
Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo. Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa...
17 Reactions
113 Replies
4K Views
Kuna dingi mmoja makamu alikuwa kiwembe sana akazunguka hadi basi shida ni mtoto mwingine maana alibahatisha mmoja tu. Sasa kwenye kuzunguka kwake akafanikiwa mwanamke mmoja ambaye kweli...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya...
2 Reactions
0 Replies
266 Views
Wakuu kumekuchaje? Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini. Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea...
14 Reactions
123 Replies
6K Views
Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi...
13 Reactions
265 Replies
7K Views
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Sisi wapenzi watazamaji tukiongelea ndoa tunamaanisha hizi 👇🏾 Sio unasimama pembeni ya cheti ah-ah. Picha yenu hadi tusubiri Usimame pembeni ya jeneza. Lazima uwe pembeni ya Bwana / Bibi ujidai...
3 Reactions
10 Replies
679 Views
Wanajamvi Leo katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na swala ambalo limekuwa likinigusa kwa muda mrefu,ni kuhusu usemi kutoka kwenye kitabu kitukufu unaomuasa mwanaume kuushi na mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu? Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani? Pia kwa nyie wanaume...
16 Reactions
356 Replies
9K Views
Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Hello Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -30yrs Mjasiliamali Mkristo Sifa za mke: Umri 27yrs na...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Back
Top Bottom