kuna mwanamke humu nilimtongoza akanijibu utumbo eti sina hadhi ya kuwa na yeye, nimemfuatilia kama safar mbili bado majibu yake yakawa niyakejeli, nikaamua kumpotezea, siku moja kanikuta dukani...
Katika pitapita yangu ya mitandao mikubwa duniani inayofanya biashara ya kuonyesha picha za ngono, nimekutana na jambo ambalo limeniacha na maswali mengi bila majibu.
Ni kwamba biashara ya picha...
Napenda kuwajulisha na kuwafahamisha kwamba Dawa ya UKIMWI imepatikana. Ukimwi unatibika na unapona kabisa 100% wai sasa ukomboe maisha yako huachane na ARVs karibuni sana.
Si nyingine bali ni 3drops
Kuna mkuu kani inspire kuandika uzi huu,
To all jf beautiful ladies
Naamini ya kuwa hakuna mwanamke mbaya, all ladies are beautiful, na huo uzuri unatofautiana kutokana na mwanamke mwenyewe...
1. Niko busy sana. Mh neno la hovyo sana kumwambia umpendaye hili. Uko busy siku nzima inapita. Unamaana hata chooni huendi kiasi kwamba ukarusha hata sms moja. Mtu anapita siku ya kwanza busy, ya...
Nianze kwa kusimulia kisa hiki.
Yuko Mtu mmoja ambaye mama wa mkewe alikuwa Mgonjwa(Mkwewe) akatumia pesa nyingi kumsafirisha toka huko kwao hadi Jijini Dar es salaam. Hiii ilikuwa ni kutambua...
Walipokuja kula mezani yule mdada alisimama kumpakulia masai .
hutaamini masai yuko kadata akimwangalia yule mdada kwa mahaba kwamba hata na yeye kule jikoni alikuwa anataka kufanya tena ila...
Ama kweli enzi hairudi wahenga wenzangu,
Nakumbuka enzi zetu wakati tunachipukia kama wanaume waliopevuka tulianza kutongoza wanawake kwa kutumia barua tena nakumbuka niliwahi kutongoza mdada...
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao.
Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online.
Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa...
Salam enyi watanzania wenzangu.
Mungu kanituma niwaeleze haya mambo mazuri kwa ajili ya kudumisha mahusiano yetu, hasa mke na mume au wachumba nk.
Kwanza kabisa, wanawake wana akili sana katika...
Habari za mchana wana jf
Kwa uwelewa wangu na utafiti wangu Wa kinaa
Watanzania wengi ni wajuaji wanajua kila kituu yaani wanajua kila kitu ata kama hana hyo taaluma ila atakuambia anajuaa...
Habari waungwana
Leo nataka niwajulishe wasichana au vibinti vimekuja na mpya
Vinapiga mizinga ya nguvu kadri siku zinavyokwenda
Siku ya kwanza
Baby sina vocha
Nitumie vocha
Siku ya pili
Baby...
Aise ilikuwa mwaka ya 2003 kwenye nyumba ya kupanga Buguruni malapa,nyumba ilikuwa na familia 2, ya 3 mimi na braza. Wanaoshinda hom ni akina dada wawili wenye watoto wadogo. Basi wakawa na bifu...
Hope mpo poa
wale wataalamu wa kubambia, kudunga, kula chaji yote ni maneno wajuvi washaelewa,
Embu njooni mtoe uzoefu katika hi kazi yetu ya kubambia wadada wawatu, japo kuna wengine hupenda...
Habari wakubwa, mimi ni kijana (early 20's)..pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa jijini Mbeya.
Lengo kubwa la kuandika huu uzi ni kuwaomba ushauri kwa haya machache. Ipo hivi...
Nimepokea taarifa sio nzuri leo jioni hii kuwa elmagnifico aliangukiwa na vioo vikamchoma sana mikononi na kifuani na kulazwa Hospitali. Pia mpaka sasa yupo Ile hospital ya mifupa mnaiita Moi...
Habari za Jioni wapendwa
Daah wanasema kila mtu ana mbabe wake huku duniani kweli hilo limejidhirisha kwangu live
Ipo hivi kuna mdada mmoja kahamia mtani kwetu ana kama miezi mitatu hivi...