Habari, wanajamii forum kutokana na mazoea yaliyo kithiri (ulevi mbaya) ya kupiga punyeto(wanaume/wanawake) kumekua na matatizo kadhaa katika ndoa.
JE kuna umuhimu wa kuanzisha "Sober Nyeto...
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME...
Sijui kuna uhusiano gani kati ya kujifungua hasa mtoto wa kwanza na kupotea kwa ubora wa makalio.Wengi wanasinyaa, yanapungua au mpangilio unapanguruka kidogo.
nilikuwa naona ila najisemea moyoni...
Jamaa yangu mmoja dr love , mr lover lover gudume ameandika thread moja akizungumzia namna ya kutongoza wanawake. Wengi wamempinga na wengine wamemuunga mkono.
Nikajiuliza "kwa nini tuandikie...
Hivi mtu unaanzaje kufikiria kupiga punyeto wakati una majukumu ya kutosha,
Ukigeuka huku watoto wanakutazama huyu anataka Ada ya shule yule anaumwa mwingine ndio huyo unakuza utapata wapi nguvu...
Habarini wapendwa. Kama kichwa cha habari hapo Juu kimekuwa kinyume na mwandishi mmoja humu JF ambaye amejaribu kuwatetea hawa single mothers na wachangiaji wengine wameenda mbali zaidi nakuona na...
Habarini Wakuu.
Tafadhali naomba Wikiendi iishe kwa Mtindo huu.
Masikini haachi kuota ndoto. huota ndoto nyingi za kila namna. Huota akisukuma Mikoko yenye wadhifa. Huota akiishi katika jumba...
Wakuu,
Ni mwisho wa mwezi wa 6 ambapo tulipata kazi ktk NGO moja hapa nchini.
Tupo watu 72. Wanawake 18 na waliobaki ni wanaume.
Hao wanawake 18, karibu wote ni visu na wengine wanafaa kwa...
Jamani binadamu Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa,
Ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana...
Dah, nmeamin kweli wanawake wako sensitive sana. Yaani huyu mpenzi wangu amekuja kwangu mida ya saa kumi na mbili jioni dhumuni tutoke usiku, ashinde hadi kesho siku nzima.
Tumekaa tunaangalia...
Mimi ni binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana, ila naona mda unaeenda na yeye ukimuuliza hajajipanga kimaisha.
Nimechoma kumsubiri natafuta mume wa kunioa.
angalau awe na...
Pamoja na ukongwe wangu na kuzunguka kwangu mja asili haachi asili,
Ilibidi kidogo nibadili mlo nitoke home(nichepuke)
Basi nikaupromise msosi mpya tukutane makutano place nikachukua chaka huko...
Aiseee! Kwa hili sie wanaume tutaendelea kulaumiwa bure, inafika muda mpaka najuta kwanini nilijihusisha kumapenzi na kusababisha mimba kwa huyu single maza wangu
miaka mitatu sasa tangu...
Nilikuwa nawaza hapa kwa harakaharaka kati ya PESA na MASHINE (urijali) kwa mwanaume kipi ni muhimu zaidi kuwa nacho (other factors remain costant).
Ni ukweli usioshaka kwamba pesa ni mchawi wa...
Hbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.
Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na...
Amani kwenu
Jamani wana MMU ni muda sasa mbitiyaza simuoni hapa hivyo namtafuta mwenye taarifa zake au anifikishie ujumbe wangu
Roho yanenda mbio kwa kuwa nilimzoea