Daaah !! Niko njia panda aiseee sijui nimuambie kuwa namuelewa au nianze kutafuta mazoea nae kwanza.
Kuna kidada flan hivi kinapita mitaa ya om kila siku. Umri ni kama 20-23 hivi.
Sasa huyu mtoto...
Japo sijapata hasara kubwa ila ni ushuhuda tosha kwamba demu/msichana hakopeshwi hela bali anapewa kama sadaka!!Nakupa experience.
Wakati namtongoza hakuonyesha uroho wa hela,mara nyingi...
Ewe mwanaume kama una mpenzi sijui unamwita mchumba and whatever na umekaa nae katika mahusiano muda mrefu na hajawahi kusikia hata tetesi kua umecheat na umemla demu fulani na fulani hapo...
Condoms are a necessary evil. Without them, people would be walking around with all kinds of STDs.
Lakini pia watu wengi huwa wanakwepa kuzitumia kwa kigezo kuwa kufanya mapenzi na condom...
Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu nami sikujua kama yumo.
Ile anataka kutoka tu pale...
Inakuwaje hayo yote yanatokea na bado unatukanwa na kudharauliwa bila sababu za msingi embu fikiria na wewe
Unamuita demu aje kwako unamlipia nauli tena siku izi hawataki usafiri wa uma wanataka...
Asalaam aleykum!
Kulingana na hali halisi ya mitaani Wanawake inabidi muaandae mjadala wa kitaifa kuliko kuwa wanafiki na kuendelea kujidanganya,kiukweli wanawake ni wengi sana kuliko...
Ni Tamasha ambalo limekuwepo kwa muda mrefu na limejizolea umaarufu mkubwa huku likiwa limepata baraka zote na Serikali husika ( namaanisha ya nchini Uganda )liitwalo ' Nyege Nyege ' lakini kwa...
Kuna huu msemo ninaokutana nao humu kwenye mada ya mahusiano kujamiiana na kungonoano wa kupiga tako mbili.hivi hiyo tako mbili inapigwaje jamani kwa wale wajuzi wa hizo tako mbili..kuna mwingine...
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie...
Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba
Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za...
Huwa hawatongozwi ama kutokana na ' Unyeti ' wa Fani zao au kwa ' Ukomavu ' wa Sura na Maumbile yao lakini ikitokea wakabahatika Kutongozwa na kuwa na Mahusiano huwa wanakuwa na tabia ya '...
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?
Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"
mama mkwe hoii...
Habari wana MMU?
Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya nyumba nilizowahi kuingia hii ikiwemo na nyumba za kulala wageni nilikuta kitanda kikiwa pembeni mwa chumba husika.
Kwa nini vitanda haviwekwi...
Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki. Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu bali tunahitaji watu wote.
Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti,hata wale wasio marafiki kuna...
Ilikuwa week kama mbili zimepita sasa, My Rich - Wealthy friend akanitafuta
Rich friend: Tsup Beyaaaaach! How ya doing?!
Money Penny: am good chile!
Rich Friend: naskia ulikuwa na birthday juzi...
Hey lo!
Good day!
Basi mwaka jana April, nipo na my friends tuna chill Kunduchi Beach Hotel, wakawa wanalalamika, we Money Penny unapataje hawa Side Men?!
Sie hata hatuwapati, it's tough outta...