Je ni kweli kufanya mapenzi kwa kutumia condom kunaondoa ladha/ni sawa na haujafanya kitu?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Condoms are a necessary evil. Without them, people would be walking around with all kinds of STDs.

Lakini pia watu wengi huwa wanakwepa kuzitumia kwa kigezo kuwa kufanya mapenzi na condom kunaondoa ladha ya tendo hilo, na wengine kudiriki kusema kuwa ni sawa na haujafanya kitu.

So opinion yako ikoje kuhusu hilo, je ni kweli kufanya mapenzi kwa kutumia condom inapunguza/ondoa ladha na pia inakuwa ni sawa na haujafanya kitu?
 
Mmhhh wakubwa mnafaidi sana !!

Wacha nikue kue kidogo nitafute Demu ,alafu siku yakwanza nitakula bila kondom. Siku yapili nitavaa kondom....... Then nitaurudia huu uzi kuchangia.

Natabiri huu uzi, utachangiwa na wanaume 90% wanawake 10%.
 
Write your reply...Wewe hujawahi kutumia condoms???Kama jibu ni ndiyo basi naomba ujaribu
 
Condoms are a necessary evil. Without them, people would be walking around with all kinds of STDs.

Lakini pia watu wengi huwa wanakwepa kuzitumia kwa kigezo kuwa kufanya mapenzi na condom kunaondoa ladha ya tendo hilo, na wengine kudiriki kusema kuwa ni sawa na haujafanya kitu.

So opinion yako ikoje kuhusu hilo, je ni kweli kufanya mapenzi kwa kutumia condom inapunguza/ondoa ladha na pia inakuwa ni sawa na haujafanya kitu?
Kweli
 
Sasa condom ya mia tatu yani 300 utasikia vipi raha!?.. Jarini starehe zenu kuna Condom ukiongeza sifuri moja mbele ya hiyo mia tatu yani elfu tatu au 3,000 nunueni.
Halafu mtaleta rejesho kama kula tofee na ganda husikii radha!.
 
Back
Top Bottom