Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo...
30 Reactions
256 Replies
10K Views
Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma. Vigezo 1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa 2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya...
2 Reactions
7 Replies
711 Views
Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi, Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa...
9 Reactions
131 Replies
6K Views
Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu. Kwa kusema hivyo, 1. Nahitaji mwanamke...
3 Reactions
14 Replies
772 Views
Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali...
25 Reactions
160 Replies
10K Views
Habari wadau wa MMU. Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them? Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu...
39 Reactions
986 Replies
79K Views
Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa...
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakijua wewe ni mwema wataanza majaribio kukupima kama una weza kusema HAPANA wakigundua huna huo uwezo basi huo utakuwa ndio mlango wao kujipatia wanayohitaji kutoka kwako . Sio kwamba bila...
10 Reactions
12 Replies
799 Views
Ungekutana na huyu dogo ungemshauri kitu gani kabla ulimwengu haujapinduka?
2 Reactions
0 Replies
263 Views
Habari za wakat huu wakuu, niende kwenye mada nahitaji kujua sifa na tabia za wanawake wa kabila la Wakurya Natanguliza shukrani [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
2 Reactions
165 Replies
44K Views
Wakuu! Kwa nini unawaza mapenzi kila muda? Je huwezi kujizuia kwa kwa kufanya/kuwaza mambo mengine tofauti na kuzagamua? Nini kinakusababisha uwaze mapenzi wakati wote?
2 Reactions
21 Replies
769 Views
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.
0 Reactions
873 Replies
166K Views
Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa. Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa. Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko...
14 Reactions
388 Replies
11K Views
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu...
13 Reactions
218 Replies
7K Views
Enzi hizo nikiwa shule, moyo ukamndondokea binti fulani matata sana wa kihaya kwa jina Methodia.... Sasa naanzaje kumface? kijasho kikanitoka! Mara wazo likanijia, nikanunue karatasi mbili za...
13 Reactions
28 Replies
10K Views
Niliinga tinder kununua huduma yetu, nikakutana na kisu kikali sana tukakubaliana tukakutana mida ya saa 10 hivi jioni. Kipindi nampiga mkuyenge alikuwa anatoa ushirikiano sana, milio ya hapa na...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu, Ni mwaka mmoja sasa tangu binti aliyenipenda kwa dhati aolewe na mwanaume mwingine kwa kulazimishwa na wazazi wake. Ilikuwa hivi,mimi na yeye tulipendana sana,na ikafikia stage...
2 Reactions
6 Replies
379 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…