Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
6 Reactions
169 Replies
21K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
0 Reactions
145 Replies
11K Views
Nianze kwa kutoa pole kwa JOZEE CHAMELION na JANJAROO, kwa niaba ya wengine, ambao ndoa zao hivi zime-rest in peace. Nimekuja na hoja fikirishi kuwa ni nini kinaikumba taasisi hii muhimu kwa...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Nimeshuhudia zaidi ya wanawake watatu hivi karibia na safari wakinunua chupi, skin tight mpya na kuhakikisha kuwa wananyoa ipasavyo, huwa najiuliza ni maandalizi lolote linaloweza jitokeza njiani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye Mada... Unakuta mwanaume kaanzisha uhusiano nawewe, mara Bata za hapa na pale mnaspend Wala hata Papuchi yako hajala..Mara paapu anakakatisha mawasiliano nawewe...lakini wee...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Swali[emoji116] [emoji116] [emoji116]
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inafahamika kila kona kuwa mwanamke hulazimika kuwa na mtu aliyempita umri, sasa ni kwanini inakuwa hvyo? Juzi nmemuuliza dada mmoja akajibu et wanawake wanawahi kuzeeka ndio maana wanachagua...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Wana jf naombeni mnisaidie mimi mwenzenu hapa nilipo sina raha na mpenzi wangu mpaka namuona amekuwa mchungu kwa sababu ni mwanamke muongeaji,ana maneno ya karaha, shida , ana mdomo kwake kila...
8 Reactions
75 Replies
11K Views
Wote tunafahamu lengo la ndoa ni kuishi milele, ila kutengana kupo na kumethibitishwa na vitabu vyetu tukufu ila huja kwa dharura zake. Wengi wanapotengana hutengeneza chuki, kudharauliana na pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana MMU... Moja Kwa Moja niende kwenye mada kwamba kwenye suala la mahusiano Umakini unahitajika sana hususani linapokuja suala la maamuzi... Week hii nipo kijijini kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye Serikali ya India kupitia Wizara husika imepiga marufuku tabia ya Wanaume wa Kiislamu Kukimbilia Kuona na kuharakisha kutoa Talaka Tatu au Kuachana ghafla na Mwanamke. Hawajaishia tu hapo...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Wakuu nimetafakari jambo hili lakini nashindwa kumuelewa hasa kiumbe aitwae "Mwanamke" Watu hawa katika mahusiano unapoanza kumtongoza unayepata shida ni mtongozaji lakini akisha ingia kwenye...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Huyu bi dada nilikutana nae shoping wakati niko pale naangalia baadhi ya nguo. Haikuwa mara ya kwanza kuonana nae la hasha,nilishawahi kuonana nae zaidi ya mara moja kwa sababu tuko tunatokea...
2 Reactions
110 Replies
8K Views
hili swala limeniumiza sana wanabodi wadada wengine wanaleta utani sana na umatemate, huyu mdada alikuwa analialia anataka kukopeshwa pesa, kwa msaada kakopeshwa pesa kadhaa na mdau wangu...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Utajijua umekuwa pale unapoacha kufikiria sana kuhusu mapenzi badala yake unaanza kufikiria majukumu na maendeleo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo Umri kuanzia miaka 31 - 40 Color : Any Tribe : Any Education : Degree na kuendelea Religion : Christian Kabila : Asiwe mchaga au wa...
9 Reactions
356 Replies
23K Views
Jamaaa zangu wamekuwa mara nyingi wakishangaa kuwa mbona sikubali kabisa kutumia vumbi lao la kongo au dawa nyingine yoyote ya kuongeza hamu na huwa nikizipinga wazwaz kwa naneno na matendo na...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
8 Reactions
104 Replies
13K Views
Je unaona mstari mweusi (black line) kwenye tumbo lako ? Ni mwanaume au umekwisha jifungua hii ni taadhali zingatia usalama wa homone zako.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Majina yenye faida katika Ndoa na Ndoa zao hudumu pia ni haya: Charles Kelvin Ian Moses Lucas Alex Robert Majina yenye hasara katika Ndoa na kama ukiolewa nao jua imekula Kwako kimoja ni haya...
1 Reactions
46 Replies
51K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…